Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Amani kwa pamoja sana .........
u sound so serious and I ask myself duh what have i done to deserve that harshy statement

daaah samahani aisee... sikukukusudia kabisa! mara nyingine ni ngumu sana kuyasoma maandishi ya mtu na kuelewa kaandika kaitka hali gani!
 
Ally sijui hata kapotelea wapi...labda kawahi futari magogoni.

kobe la mchana yule (samahani Ally natania tu)
alijidai anavidonda vya tumbo...lol!

magogoni deadline ya kufuturisha ilikuwa juma la kwanza la mwezi mtukufu...lol

ooh na ukaidi wake asubiri siku ya idd tu...
 
daaah samahani aisee... sikukukusudia kabisa! mara nyingine ni ngumu sana kuyasoma maandishi ya mtu na kuelewa kaandika kaitka hali gani!

huwa mara nyingi nasoma maandishi btween the line to know mood ya mtu kwa wakati anaandika and thats why nimeweza kugundua it was so serious
Its ok let move
 
kobe la mchana yule (samahani Ally natania tu)
alijidai anavidonda vya tumbo...lol!

magogoni deadline ya kufuturisha ilikuwa juma la kwanza la mwezi mtukufu...lol

ooh na ukaidi wake asubiri siku ya idd tu...

Yule akija hapa anaharibu mood yote na maana ya hii topic
hahahahahah heri mimi sijasema ni bundi (natania)
 
  • Thanks
Reactions: bht
Yule akija hapa anaharibu mood yote na maana ya hii topic
hahahahahah heri mimi sijasema ni bundi (natania)[/QUOTE]

hahaaaaa disclaimer mapemaaa umeitundika, daaah unamshaa jamaa eeh?

ally ni mtukutu!! ndio nimesema
 
Kwanini Mungu Usiichome moto Marekani ili tukae kwa Amani hapa Duniani?!! yani hilo ni swali langu la kwanza Mengine ntakuja ninayo kama 100..
 
ooops, Ally it was only a joke eeeh! don't crucify me and my brother Rocky
 
Yule akija hapa anaharibu mood yote na maana ya hii topic
hahahahahah heri mimi sijasema ni bundi (natania)[/QUOTE]

hahaaaaa disclaimer mapemaaa umeitundika, daaah unamshaa jamaa eeh?

ally ni mtukutu!! ndio nimesema

Si umeona amekuja na mafujo fujo yake
duh jamaa noma hatajwi tayari kashakuja
 
Kwanini Mungu Usiichome moto Marekani ili tukae kwa Amani hapa Duniani?!! yani hilo ni swali langu la kwanza Mengine ntakuja ninayo kama 100..

khaaa wewe! usiombee wenzio mabaya bana, Mungu hapendi
 
Kanawie mafuta ya nazi uje ule fenesi lako.

hahaaaaa wewe kweli mtambo wa nyuklia...lol!!

hata kama hujafunga ruksa kufuturisha wenzio, lakini si mpango wa kunawa kwa futa la nazi kisha unilishe fenesi.

nataka nanasi nile kwa nafasi
 
Back
Top Bottom