Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Mie ningemuuliza kwa nini kuumba warembo (jamani kuna warembo!) halafu hapo hapo kubandika Amri ya Sita?
Kwa nini ametuacha tukatengeneza pesa halafu inatunyanyasa? Kwa nini anakubali ndugu zetu wengine wawe vichaa?
 
hahaaaaa wewe kweli mtambo wa nyuklia...lol!!

hata kama hujafunga ruksa kufuturisha wenzio, lakini si mpango wa kunawa kwa futa la nazi kisha unilishe fenesi.

nataka nanasi nile kwa nafasi

Laliwaje hilo nanasi?
 
ALLY usije kwetu kufuturu, hamna kalimati wala halua.
tumepika manumbu na chai ya maziwa
 
Ningemwambia eeeh Mungu wa Ibrahim, isaka na Yakobo... KWA NINI UMEINYIMA TANZANIA WANANCHI WENYE UTASHI WA KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI YAO? KWA NIN UMEWAFANYA MABWEGE NA MBUMBUMBU KTK MAENDELEO YA TANZANI?
 
Laliwaje hilo nanasi?

Nimeachwa njia panda sjui niende kusini au kaskazini au mashariki au magharibi
Ila huyo ndo Ally

Ugomvi wa kusini usiulete kaskazi.

njoo kufuturu halafu utaona.....

afuturu wakati ni bundi (sorry sijasema)

Wapendelea sumu ya kukaangwa au ya kusagwa?

hahaaa lol....wee Ally unaona unavoogopwa? ACHA ukorofi

zote sumu sitaki hata moja

chaguo lako ukitaka halua za oman, muscat, Dubai, zipo
kaliamti laini lilokandwa kwa limao

Wataka halua?

Kuniogopa mimi ni sawa na kusubiri embe nyonyo chini ya mwarobaini

Kimeo wewe
wacha mambo ya ajabu
tuko kwenye kumuuliza Mungu hapa

ALLY usije kwetu kufuturu, hamna kalimati wala halua.
tumepika manumbu na chai ya maziwa

Afuturu wakati ni bundi
hapo sijui yuko wapi muda huu anapata supu ya pweza

<br />
<br />
Hahahahahaha! Chungu cha 24 hicho!
Nyie watu hapo juu, mwaweza niambia mnachojadili hapa kama kina uhusiano wowote na Kumuuliza Mwenyezi Mungu maswali?
 
Back
Top Bottom