Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

Mie ningemuuliza kwa nini kuumba warembo (jamani kuna warembo!) halafu hapo hapo kubandika Amri ya Sita?
Kwa nini ametuacha tukatengeneza pesa halafu inatunyanyasa? Kwa nini anakubali ndugu zetu wengine wawe vichaa?
Aisee nna mashaka wewe usingejibiwa zaidi ya kuzabwa makonde........Na konde la Mungu ni sawa na kuangukiwa na jengo la WTC

Thanks for sharing. I like this.
Thanks.......Seems huna swali kwa Mwenye kila kitu chake duniani na mbinguni.
 
Hommie....hizi ni dalili za wazi kabisa za mtu anayekaribia kufa!
 
Nyie watu hapo juu, mwaweza niambia mnachojadili hapa kama kina uhusiano wowote na Kumuuliza Mwenyezi Mungu maswali?

Mungu yupo mahali pote.....najaribu kukumbuka katekisimu......
 
Usinikumbushe Padre Pius na Sista Magdalena aisee....

hata kwenye hii kiibodi yangu yupo....hata kwa maxe yupo....kila mahali.....faza pius......sista msheku...

BTW: Hapa kuna nini hommie....any dots?
 
hata kwenye hii kiibodi yangu yupo....hata kwa maxe yupo....kila mahali.....faza pius......sista msheku...

BTW: Hapa kuna nini hommie....any dots?
Dots chini ya mstari...... usisahau kuniwakilisha.
 
Ningemuuliza kwa nini alituletea shetani duniani ili hali alijua kabisa kuwa sisi tu wadhaifu? Huyuhuyu shetani ambaye alikuwa mkorofi kule juu (Lucifer) akaamua kutuletea sisi!!
 
Nyie watu hapo juu, mwaweza niambia mnachojadili hapa kama kina uhusiano wowote na Kumuuliza Mwenyezi Mungu maswali?

ooopppssss tulichepuka kidogo tukamfuata shetani kuangalia kama anaweza kutuondolea hili balaa la Ally hapa
Ila tumerudi kwa Mungu sasa
Hebu sema ulikuwa unasemaje
 
Ningemuuliza kwa nini alituletea shetani duniani ili hali alijua kabisa kuwa sisi tu wadhaifu? Huyuhuyu shetani ambaye alikuwa mkorofi kule juu (Lucifer) akaamua kutuletea sisi!!
Hivi shetani asingekuwepo, dunia ingekuwa na raha gani?
 
ooopppssss tulichepuka kidogo tukamfuata shetani kuangalia kama anaweza kutuondolea hili balaa la Ally hapa
Ila tumerudi kwa Mungu sasa
Hebu sema ulikuwa unasemaje
Mungu anasubiri swali lako...........
 
Kwa nini Asprin anapata wanawake wengi wakati mimi hata wa dawa sina na kila siku napokea vibuti
Hapo hapo anakugea mabinti wote wa MMU......... ukiwashindwa anakubwenga makwenzi....
 
Hapo hapo anakugea mabinti wote wa MMU......... ukiwashindwa anakubwenga makwenzi....

Si atakuwa amenigea na nguvu za kufanya kazi nisihangaike kwenda kula pweza na tende
atakuw aamefanya la maana sana
 
Mungu anayajua maisha yetu sana na anajua tutaishi tu hata kama wanaotupenda hawapo!

Nikikumbuka nilikotoka huwa naogopa kumuuliza Mungu chochote kwa kuwa hapa nilipo ni miujiza ya Mungu kwangu.....

Namshukuru Mungu kwa yote wala sina cha kumuuliza
 
Kazi ya Mungu haina makosa haihojiwi, haisahihishwi..baada ya kifo ni hukumu (hakuna maswali wala hoja) kama una maswali wakati ni sasa.. watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa (matatizo mengi tunayatengeneza/tunajitakia wenyewe eg, umaskini wa vizazi unaotengenezwa na ccm kwa ridhaa yetu wenyewe!?)..shetani siyo kisingizio tena..mpingeni naye ATAWAKIMBIA.. atatawanyika ktk njia saba sawa sawa na neno la Mungu.
 
Huyu ndugu mlevi anahoji kuhusu kufa kwa baba yake akiwa mdogo..je naye akiondoka na hiv au ajali ulevini..watoto wake nao watakuwa na hoja hii: ee Mungu mchome moto vilivyo baba yetu mr.ulabu or sharubati..
 
Back
Top Bottom