Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu

Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Msemo huu unatufundidha sana ni sawa na mtu muongo. Ukiwa muongo utakuwa muongo muongo kuanzia msikitini, bungeni mpaka kwenye familia endapo hutaamua kutubu UWONGO wa mwanzo.
 
Kama ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, maanake nyama ya mtu ni zaidi ya kitimoto (tamu sana)

Eeh..au nazingua wakuu??
 
Back
Top Bottom