MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Jun 13, 2022 #1 Msemo huu unatufundidha sana ni sawa na mtu muongo. Ukiwa muongo utakuwa muongo muongo kuanzia msikitini, bungeni mpaka kwenye familia endapo hutaamua kutubu UWONGO wa mwanzo.
Msemo huu unatufundidha sana ni sawa na mtu muongo. Ukiwa muongo utakuwa muongo muongo kuanzia msikitini, bungeni mpaka kwenye familia endapo hutaamua kutubu UWONGO wa mwanzo.
M Mboneza Member Joined Jun 8, 2022 Posts 24 Reaction score 38 Jun 13, 2022 #2 Kama ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, maanake nyama ya mtu ni zaidi ya kitimoto (tamu sana) Eeh..au nazingua wakuu??
Kama ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, maanake nyama ya mtu ni zaidi ya kitimoto (tamu sana) Eeh..au nazingua wakuu??
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 5,305 Reaction score 5,355 Jun 13, 2022 #3 unamuongelea piemu au?