Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
twende kazi biblia hiyo inasema kitimoto haramu
bibli hiyo hiyo inatuambia alochokiumba Mungu usikiite najisi
Biblia hiyo hiyo inakataza kula ngamia lakini wenzetu wala
uharamu au unajisi utabaki kimtokacho mtu yaani matendo mabaya,mawazo mabaya,nk lakini sio tulacho
tuendelee kijikandamiza na kititmoto wanawane kitamu niaje acha tu
wasiotaka kula shauri yao
Huo ndo umbumbumbu wa waktisto!!!! Hawana uwezo wa kufikiri....Mungu alipoumba dunia aliweka utaratibu wa jinsi ya kuishi. Tatizo wakristo hawataki kufuata taratibu.... Wanarahisisha maisha kana kwamba dunia hii waliiumba wao. Mungu wa kweli ni yule anayeweka utaratibu wa namna ya kuishi. Sasa ona wewe ulivyorahisisha maisha eti kiingiacho si haramu bali kimtokacho... Huo ni ujinga milioni moja!!!! Kwa tafsiri ya andiko hilo ina maana hata ukimchinja baba yako mzazi unaweza ukamla na ikaonekana poa tu???? Hivi ninyi watu mna akili kweli??? Muwe mnakaa siku moja moja mnafikiri kwa undani. acheni uvivu wa kusali sala nyepesi nyepesi wakati Mungu ameweka sala ngumu na zinazoeleweka utaratibu wake. ninyi ni wavivu na aliyewapotosha ni Paulo!!!! Poleni sana.....
Basi mchinje mwano utualike tuje kula nyama yake kama kweli wewe una akili!!!!!!