Ukila nyama ya nguruwe (KITIMOTO) inakufanya uwe na akili zaidi

Ukila nyama ya nguruwe (KITIMOTO) inakufanya uwe na akili zaidi

Status
Not open for further replies.
kitimoto.jpg
[/QUOTE Sigma, imesababisha nitoroke ofisini nikapate kidogo....
 
Last edited by a moderator:
hivi, kwenye ile stori ya Nuhu mnyama wa kwanza kuingizwa kwenye safina si alikuwa kitimoto? Tena aliingiza dazeni nzima, sio wawili kama wengine! Nadhani kama ukiniuliza mnyama ambae nina hakika hata kule tunako-rest in peace yuko, basi atakuwa huyu. Hana mpinzani, niko napata mda huu
 
Juha ni mtu yeyote asiyeelewa maandiko. Isaya 66(1) mpaka 66(4) Mungu hapendi sadaka zetu kwa ajili yake!!! Ndo maana anasema mtu akichinja ng'ombe kama sadaka yakumtolea Mungu ni machukizo!!! Huelewi nini hapo wewe kilaza namba 100 duniani? Katika aya hiyo (kwa kuwa wewe ni kilaza) nakuelwesha kwamba kuchinja ng'ombe kwa ajili nyingine hakukukatazwa ILA ukichinja ng'ombe kwa ajili ya sadaka ndo machukizo na si kile kitendo cha kuchinja!!! Mmezoea kusomewa maandiko na askofu wapi na wapi utaelewa wewe? kwanza huna roho mtakatifu maana unakula nguruwe na nguruwe ni najsi. mtu mwenye najisi hawezi kuwa na roho mtakatifu which means hawezi kuwa mtakatifu!!! Na ndo maana Yesu hakula nguruwe alikula SAMAKI!!!!!!

Wapi imeandikwa Yesu alipanda bajaj?
Kwa hiyo mi ntaenda kuchomwa moto kwa vile leo nimepanda?
 
yaani hapa ndo kwanza nipo bia ya nne nasubiri losti ya kitimoto na ugali hapa sabasaba
asiee MUNGU kampendelea sana huyu kiumbe kwa maana ni mtamu kuliko viumbe wote duniani
asanteni ndugu zetu waislam kwa KUMLA KISIRISIRI maana mngejidhihirisha
upatikanaji wake ungekuwa mgumu sana kwa maana mlivyo walafi mngwamaliza na ubwabwa wenu
PIG & PORK FACTS
THE pig or swine is a very popular food item with most Christians. Yet Christians are unaware that the God they profess to believe in had condemned the eating of swine's flesh. The condemnation was based on some very sound biological principles. Here are some facts on pork that prove it to be a very unhealthy food to eat:
Redball.gif
A pig is a real garbage gut. It will eat anything including urine, excrement, dirt, decaying animal flesh, maggots, or decaying vegetables. They will even eat the cancerous growths off other pigs or animals.

Redball.gif
The meat and fat of a pig absorbs toxins like a sponge. Their meat can be 30 times more toxic than beef or venison.

Redball.gif
When eating beef or venison, it takes 8 to 9 hours to digest the meat so what little toxins are in the meat are slowly put into our system and can be filtered by the liver. But when pork is eaten, it takes only 4 hours to digest the meat. We thus get a much higher level of toxins within a shorter time.

Redball.gif
Unlike other mammals, a pig does not sweat or perspire. Perspiration is a means by which toxins are removed from the body. Since a pig does not sweat, the toxins remain within its body and in the meat.

Redball.gif
Pigs and swine are so poisonous that you can hardly kill them with strychnine or other poisons.

Redball.gif
Farmers will often pen up pigs within a rattlesnake nest because the pigs will eat the snakes, and if bitten they will not be harmed by the venom.

Redball.gif
When a pig is butchered, worms and insects take to its flesh sooner and faster than to other animal's flesh. In a few days the swine flesh is full of worms.

Redball.gif
Swine and pigs have over a dozen parasites within them, such as tapeworms, flukes, worms, and trichinae. There is no safe temperature at which pork can be cooked to ensure that all these parasites, their cysts,and eggs will be killed.

Redball.gif
Pig meat has twice as much fat as beef. A 3 oz T bone steak contains 8.5 grams of fat; a 3 oz pork chop contains 18 grams of fat. A 3 oz beef rib has 11.1 grams of fat; a 3 oz pork spare rib has 23.2 grams of fat.

Redball.gif
Cows have a complex digestive system, having four stomachs. It thus takes over 24 hours to digest their vegetarian diet causing its food to be purified of toxins. In contrast, the swine's one stomach takes only about 4 hours to digest its foul diet, turning its toxic food into flesh.

Redball.gif
The swine carries about 30 diseases which can be easily passed to humans. This is why God commanded that we are not even to touch their carcase (Leviticus 11:8).

Redball.gif
The trichinae worm of the swine is microscopically small, and once ingested can lodge itself in our intestines, muscles, spinal cord or the brain. This results in the disease trichinosis. The symptoms are sometimes lacking, but when present they are mistaken for other diseases, such as typhoid, arthritis, rheumatism, gastritis, MS, meningitis, gall bladder trouble, or acute alcoholism.

Redball.gif
The pig is so poisonous and filthy, that nature had to prepare him a sewer line or canal running down each leg with an outlet in the bottom of the foot. Out of this hole oozes pus and filth his body cannot pass into its system fast enough. Some of this pus gets into the meat of the pig.

There are other reasons grounded in biological facts that could be listed to show why pigs and swine should not be eaten. But a true Christian should only need one reason why not to eat this type of food because God prohibited it.
"And the swine, because it divides the hoof, yet does not chew the cud, it is unclean unto you: you shall not eat of their flesh, nor touch their dead carcase." - Leviticus 11:7,8; Deuteronomy 14:8
Those who say Christ abolished the law condemning pork are motivated by their stomach not Scripture. The problems with pork are biological, and Christ never changed the laws of biology.
 
mkuu wa meza huyooo noma tupu, enzi hizo kuna ile kitu inatengenezwa km sousage hizi zilikuwa maarufu sana pale ANGONI ARMS Songea, kitu bomba mnooo!! miaka iyoo, siku hizi sijui km zinapatikana
 
Kitimoto....

Uipate ile rosti iliyorostiwa mpaka ikageuka kuwa brown, afu pembeni unawekewa pilipili za kukata zile... zimechanganywa zile za kijani na moja inayoelekea kwenye wekundu hiviii. Pemben tena kuna vipande viwili vya ndimu zile kubwakubwa pamoja na chumvi.

Hiyo uipate na dona au ndizi kama 3 hivi zilizokaangwa. Kabla hata hujamaliza kuikagua sahan kama kila ulichoagiza kimefika unaambiwa na mhudumu "naomba unawe".... unamuangalia kidogo usoni then unakinga mikono unanawa, maji vuguvugu saaafi kabisa.

Anamalizaa anaondoka unamsindikiza kidogo na jicho la kiwizi then unairudia sahan yako. Unapiga one touch moja unakamata kipande cha kitimoto kilicholowa rosti zito unakitupia mdomoni na kabla hujatafuna sana unang'ata na kipande cha pili pili. Then baada ya hapo unachukua kipande cha ndimu na kuanza kukamulia taratiiibu kwenye rosti yako huku ukiiangalia kwa madaha beer yako iliyopo pembeni na imefungwa tishu kwa juu.....


[/B]Itaendelea[emoji39][
c931b181ff88b6ce0c916b8ebee0336a.jpg
B]
 
Dah nimejawa na hamu teree mdomoni.... Nyama bora zaidi dunian... Hakika hii ni nyama pendwa kabisa... Haina dosari yeyote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom