Nyikanavome
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 484
- 178
Nilimaaninisha hawali Kulingana na maadili ya dini yao ya kiyahudi (Judaism) kwa sababu hypothesis ilikuwa sehemu yenye walaji wengi wa ngurue ndio yenye watu wenye akili. Nami nilijiunga kujaribu kuchaigia hii ishu ya kutest hypotheasis bila hard data
Kama hujui kitu ni bora ufanya utafiti kwanza kabla kupost unashindwa hata ku "GOOGLE"