Ukila nyama ya nguruwe (KITIMOTO) inakufanya uwe na akili zaidi

Status
Not open for further replies.

Huo ndo umbumbumbu wa waktisto!!!! Hawana uwezo wa kufikiri....Mungu alipoumba dunia aliweka utaratibu wa jinsi ya kuishi. Tatizo wakristo hawataki kufuata taratibu.... Wanarahisisha maisha kana kwamba dunia hii waliiumba wao. Mungu wa kweli ni yule anayeweka utaratibu wa namna ya kuishi. Sasa ona wewe ulivyorahisisha maisha eti kiingiacho si haramu bali kimtokacho... Huo ni ujinga milioni moja!!!! Kwa tafsiri ya andiko hilo ina maana hata ukimchinja baba yako mzazi unaweza ukamla na ikaonekana poa tu???? Hivi ninyi watu mna akili kweli??? Muwe mnakaa siku moja moja mnafikiri kwa undani. acheni uvivu wa kusali sala nyepesi nyepesi wakati Mungu ameweka sala ngumu na zinazoeleweka utaratibu wake. ninyi ni wavivu na aliyewapotosha ni Paulo!!!! Poleni sana.....
Basi mchinje mwano utualike tuje kula nyama yake kama kweli wewe una akili!!!!!!
 

yaaaa inaonesha huyo mtuwako unae Mwita MSOMI angelikuambia yakua watu ote wanaokula nguruwe no kesho watageuka NGURUWE naona pia ungekubali wajinga ndio waliwao HONGERA........
 
Tanzania Bara wanakula zaidi kiti moto kuliko Zanzibar na huku Tanzania bara pia watu wasiokula sana kitimoto wanapatikana mikoa ya Pwani zaidi ngoja nifanye utafafiti uwezo wa kufikiri wa watu wa Pemba nikiwashindanisha na wale wa Dodoma na wale wa Mtwara nikiwashindanisha na wale wa Rukwa then nitakuunga mkono au kukupinga
 
Tafadhali mkuu hebu vitu vingine uwe unakaa navyo moyoni... tunaokula tunatosha sana ukiongeza walaji wengine nyama itapanda bei na hali itakua ngumu kwa sisi wadau wakubwa tusio na pesa ya kutosha, kumbuka Demand ikizidi supply price itaongezeka.. tunatosha sana na ikibidi wengine wapungue..
 
Alichoumba Mungu mwanadamu asikiite najisi. Kuleni kila kiuzwacho sokoni bila kuuliza uliza 1 Wakorintho 10:24-26

Wewe elimu yako ya biblia ni ndogo sana kama yai la kiroboto. Yaani andiko hilo tu ndo limekufanya uamini kwamba kila kitu alichoumba Mungu ni halali? Lo!!! Pole sana. Hivi kitu mpaka kinafika sokoni kuuzwa unataka kuniambia hakikufuata utaratibu? Hivi unaweza kwenda soko la kariakoo kununua nyama ya kenge utaikuta??? Sokoni ni sehemu isiyofuata sheria? Wewe mbombona ni mbumbumbu mzungu wa reli? Halafu hebu acha kutudanganya na andiko lako bwana hebu rudi mstari mmoja nyuma yaani 1Korintho 10:23. Umeona mstari unavyosema? Maana yake nini?
 
i declare today KITIMOTO-DAY..........HAPPY KITIMOTO DAY
 

If you read properly the same books and those particular chapters you will see that also Camels, ducks, rabbits etc are prohibited. Now tell us, what you guys prefer to slaughter during Eid-el-Haj?
 




thank u so much...!!
Mimi hapo sina cha kuongeza
tabia hii ya kubadilisha vifungu vya maneno ya muumba kwa maslahi ya tumbo na utashi wa kibanadam yastahili kukekemewa sana
af pia ktk kuongezea huyu mdudu mchafu hua anapata siku zake za hedhi kama mwanamke wa kawaida
tuache ndugu zangu,,hata kama ni tamu lakini si kuna nyama zingne???
 
Kwenye biblia mambo ya Walawi 11:7 imeandikwa ". 7*And the pig, though it has a divided hoof, does not chew the cud; it is unclean for you. "


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
unahitaji kongozwa na roho kuelewa maandiko
kwa vile huelewi bora ukae kimya
Kimuingiacho mtu haimaniishi umle baba yako Yesu

alimaanisha vyakula tunavokula sio tija kwani sisi hatuishi
kwa sheria bali tunaishi kwa Iman zaidi. Amri kuu sisi wakristo ni moja tu,
Mpende bwana Mungu wako kwa Moyo wako wote,nguvu zako
na kwa akili yako yote na pia mpende jirani yako kama nafsi yako
mengine ni ziada tu, yafaa nini huli kitimoto lakini

unatenda maovu kama kubaka,kulawiti, kuchoma makanisa,kuuwa nk?
yafaa nini kutokula kitimoto huku unaita wengine makafiri kana kwamba wewe ni mwema kuliko wengine?
katika mahubiri yake Yesu hajawahi kusema watu wasile kitimoto.

Sheria nyingi unazosema ziliwekwa wakati ule waisraeli wakiwa jangwani,
,ila alituamuru kuzishika amri zake KUMI katika hizo kumi KITIMOTO HAKIPO
na Yesu alipokuja alitumbia amri kuu kuliko zote ni UPENDO
siwezi kuandika mengi soma biblia vizuri.

WALAJI WAKUBWA WA HII KITU NI WAISLAMU USHAHIDI NI WAKATI WA MFUNGO WARAMADHANI

 
If you read properly the same books and those particular chapters you will see that also Camels, ducks, rabbits etc are prohibited. Now tell us, what you guys prefer to slaughter during Eid-el-Haj?
The Leviticus 11 says 4*"'There are some that only chew the cud or only have a divided hoof, but you must not eat them. The camel, though it chews the cud, does not have a divided hoof; it is ceremonially unclean for you. 5*The hyrax, though it chews the cud, does not have a divided hoof; it is unclean for you. 6*The rabbit, though it chews the cud, does not have a divided hoof; it is unclean for you


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hii thread na ile ya picha za jk akijenga nchi! Are my best threads ever!
 
If you read properly the same books and those particular chapters you will see that also Camels, ducks, rabbits etc are prohibited. Now tell us, what you guys prefer to slaughter during Eid-el-Haj?



LOOH,,LIONE MATE YA UCHU YAMDONDOKA NA HATAKI KABISA KUSKIA ANAHUBIRIWA VIFUNGU VINAVOKATAZA UOVU HUO
UONE AIBU SASA KILA KITU UMEWEKEWA WAZI KUA HURUHUSIWI KULA HUYO MDUDU MCHAFU
SASA POVU LA NIN??
:smile: :smile:
 

Jibu hoja acha matusi. Watu wenye akili ndogo utawajua tu. Badala ya kujibu hoja wanakimbilia matusi na jazba.
 
Kama kuna mwenye muda akafanye survey ni maeneo gani Dar yana vibanda vingi vya kitimoto: wanakoishi waKristo au waIslam then utaleta taarifa njema sana.

It is just my simple suggestion.
Mmmh, hili nalo neno mkuu. Halafu nasikia wakati wa mfungo wa ramadhani huwa biashara inadoda kabisa. Labda kunahitajika ufafanuzi hapa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…