Ukila nyama ya nguruwe (KITIMOTO) inakufanya uwe na akili zaidi

Status
Not open for further replies.
hivi, kwenye ile stori ya Nuhu mnyama wa kwanza kuingizwa kwenye safina si alikuwa kitimoto? Tena aliingiza dazeni nzima, sio wawili kama wengine! Nadhani kama ukiniuliza mnyama ambae nina hakika hata kule tunako-rest in peace yuko, basi atakuwa huyu. Hana mpinzani, niko napata mda huu
 

Wapi imeandikwa Yesu alipanda bajaj?
Kwa hiyo mi ntaenda kuchomwa moto kwa vile leo nimepanda?
 
yaani hapa ndo kwanza nipo bia ya nne nasubiri losti ya kitimoto na ugali hapa sabasaba
asiee MUNGU kampendelea sana huyu kiumbe kwa maana ni mtamu kuliko viumbe wote duniani
asanteni ndugu zetu waislam kwa KUMLA KISIRISIRI maana mngejidhihirisha
upatikanaji wake ungekuwa mgumu sana kwa maana mlivyo walafi mngwamaliza na ubwabwa wenu
 
mkuu wa meza huyooo noma tupu, enzi hizo kuna ile kitu inatengenezwa km sousage hizi zilikuwa maarufu sana pale ANGONI ARMS Songea, kitu bomba mnooo!! miaka iyoo, siku hizi sijui km zinapatikana
 
Kitimoto....

Uipate ile rosti iliyorostiwa mpaka ikageuka kuwa brown, afu pembeni unawekewa pilipili za kukata zile... zimechanganywa zile za kijani na moja inayoelekea kwenye wekundu hiviii. Pemben tena kuna vipande viwili vya ndimu zile kubwakubwa pamoja na chumvi.

Hiyo uipate na dona au ndizi kama 3 hivi zilizokaangwa. Kabla hata hujamaliza kuikagua sahan kama kila ulichoagiza kimefika unaambiwa na mhudumu "naomba unawe".... unamuangalia kidogo usoni then unakinga mikono unanawa, maji vuguvugu saaafi kabisa.

Anamalizaa anaondoka unamsindikiza kidogo na jicho la kiwizi then unairudia sahan yako. Unapiga one touch moja unakamata kipande cha kitimoto kilicholowa rosti zito unakitupia mdomoni na kabla hujatafuna sana unang'ata na kipande cha pili pili. Then baada ya hapo unachukua kipande cha ndimu na kuanza kukamulia taratiiibu kwenye rosti yako huku ukiiangalia kwa madaha beer yako iliyopo pembeni na imefungwa tishu kwa juu.....


[/B]Itaendelea[emoji39][ B]
 
Dah nimejawa na hamu teree mdomoni.... Nyama bora zaidi dunian... Hakika hii ni nyama pendwa kabisa... Haina dosari yeyote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…