marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Mm silipwi lakini nanufaika.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeuliza swali zuri Sana Mkuu
Lakini sio kila kitu unafanya ili ulipwe. Wakati mwingine unaweza fanya kitu Kwa sababu unapenda kufanya kitu hicho.
Nawe nakuuliza;
Hivi unavyosomaga, huwa unalipwa?
Mm silipwi lakini nanufaika.
Siku ya kwanza akitishia kuota na baadae akasema hakumbuki, Basi ndoto iyakayofuata hapo hapo atakula gumi moja maridhawa la jicho.nadhani huo utakuwa mwisho wa kupata ndoto maishani.
Umetisha Taikon
Mimi ni mnyoofu, nitakwenda kiunyoofu.Usitumie nguvu Mkuu kudili na mambo ya Dada zetu. ππ
Hawa wanahitaji uwe na drama na fix, ujanja ujanja, propaganda nyingi. Hiyo ndio Dawa Yao
Mimi ni mnyoofu, nitakwenda kiunyoofu.