Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ah wapi tutakucare balaa, taratibu unakunywa wala hatukupush.
 
Malaika sikuwahi ipenda. Ilikuwa inajaza sana.. Nilikuwa napita tu ila naishia chini, kule juu/ VIP sikuwahi kanyaga.

Kwangu palikuwa Rainbow na Platinumz
We utakuwa mpenzi wa kunywa na muziki but sio kudance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…