Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hata hivo nili fail kumuangalia ilitakiwa hata mwana asimle yani . Nilivoona watu wote pale nawajua nika relax. Ila mwenyewe mpaka leo hajawahi kusema chochoteNikajua stranger nilikuwa nikushangae maana alikuambia kabisa umlinde
[emoji23] tutaenda wote siku moja. Tukeshe mpaka asubuhi kabisa huku tukiwachora watu.kuna mzee juzi hapa kalewa hajielew chochote anatoa toa tu card ya bankHa ha ha mkuu mi silewagi
Naenda kule kuwaza mambo yangu tu, na kuangalia vituko vya watu...
Na sio mara zote ni mpaka nijisikie
Shoga huyo[emoji23] tutaenda wote siku moja. Tukeshe mpaka asubuhi kabisa huku tukiwachora watu.kuna mzee juzi hapa kalewa hajielew chochote anatoa toa tu card ya bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake mkilewa mna mambo ya hovyo[emoji38]. Kuna mmoja the first time kumuona ametok kazini akaunga bar ambayo nilikua na rafiki zangu tukakaa nae meza moja maana ni rafiki wa jamaa angu, yule dada akaanza vijistori kwamba yy hataki kabisa mambo ya wanaume na bla bla nyingiii
Alivolewa bana si akanifuata anataka tucheze, mi nikaw namtuliza nikastukia kanipiga na denda anasema nimuangalie kashaanza kulewa. Kufupisha stori ni kwamba mi nilikua namsubiri demu wangu akaja nikawa nae busy na yule dada aliliwa na mwana. Pombe zilivokata akajikuta kaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha we jamaa nahisi anal sphincter muscles zako zimetanuka, zinahitaji ndonga!Ww n km tuu mara hulewi mara nn kmb mwanaume shoga I'd umeweka y demu kmmk
Njoo tupombeke wote weekend hii ....twende zetu rud's farm kunduchi
Tupige mawine na vitimoto vya ukweli, maisha ni haya haya [emoji848]
Eeh ni vyema ukaijaribu sio siri utaifurahia![emoji4][emoji120]
Nitaijaribu hiyo yenye jina langu.
Mean?Kuna Bolt huko?
Huku ndio penye ligi ya watu wazima utajifunza mengi sana๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakaribia kudondokea kwenye ulevi wewe unasema nakuja vizuri![emoji1787]
Mwanaume shoga ww n km tttHa ha ha we jamaa nahisi anal sphincter muscles zako zimetanuka, zinahitaji ndonga!
Mi ni mwanaume ndio, ila sifiriii sawa? Endelea kutafuta bashaa mwingine humu akubashieee,
Usinitafutie ban nitakutukana mpaka ukimbie hii ID yako sawa?
Safari lager ni sumu kuvu ile asije akaacha blouse bar๐ ๐ ๐Piga piga nguruwe na safari lager[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukana mamak nly mfiraHa ha ha we jamaa nahisi anal sphincter muscles zako zimetanuka, zinahitaji ndonga!
Mi ni mwanaume ndio, ila sifiriii sawa? Endelea kutafuta bashaa mwingine humu akubashieee,
Usinitafutie ban nitakutukana mpaka ukimbie hii ID yako sawa?
Braza zingatia speed kidogo ๐๐๐ utaua!Mwanaume shoga ww n km ttt
IN ANY SUCCESSFULY DRINKING, THERE IS A PROMISE OF NOT TO DRINK AGAIN...!!!! Ukiona ahadi hiyo hujaiweka ujuwe hukuichapa ile yenyeweIkiwa weekend ndio imeanza mi nimeona ni share hii mada, maana mi nnapo kunywa pombe hasa pale nnapifikisha chupa ya 12 hua naanza kuchukua namba za simu za warembo wanaokatiza mbele ya macho yangu na nikifikisha chupa ya 18 hua nasogea kwenye viti virefu kaunta hapo sasa pombe baridi zinaanza kushuka huku zikisindikizwa na ala ya music laini nakamata pisi yoyote ambayo ipo bling bling nacheza nayo music huku nikimchombeza tuondoke wote tubadili kiwanja au tukalale mwisho mitego yote ikifeli namshawishi tukapige story kwenye gari kisha tutarudi akikubali tu kaisha.. ila kesho yake hua najuta kwanini nlikunywa kiasi kile mpaka nikafanya matukio kishujaa... share tabia yako baada ya kumoka View attachment 1874469
We jamaa achana na K Vanga mzee baba๐ ๐ ๐ tumia hata GongoKila aina ya pombe na tabia zake!
Mimi kinywaji changu ni KVANT sio kwamba naipenda sana noo sababu naimudu gharama yake!
Nikilewa kvant huwa natoa siri sana halafu nakuwa mmbea kinoma...
Kama uliniambia ishu ya siri ukanisisitiza nisiiseme!!!...nikinywa kvant nitaitoa tuu halafu hapohapo naanza kujutia...
Najiapia sitakunywa tena kvant!!
Lakini utasema nimeandikiwa fungu langu ni la kvant tuuu.kesho nitainywa.
Bia ni mpenzi wa kili..
Nitakunywa nitalewa vzr nitaongea point taeleweka..
Ila mwisho kvant lazma ihusike..
[emoji16][emoji16][emoji16] blouse au chupiSafari lager ni sumu kuvu ile asije akaacha blouse bar[emoji28][emoji28][emoji28]
HahahahaBraza zingatia speed kidogo [emoji41][emoji41][emoji41] utaua!
Hahahah kimojawapo lazma akiache hapo mezani๐ sema kunywa na mtu anayejifunza ni raha sana hasa akiwa mnafahamiana ndio mnamfundisha![emoji16][emoji16][emoji16] blouse au chupi
Jamaa kila nikiangalia ID na ww umekubali ni mwanaume naomba unitumie namba zako dm nikushikishie ukuta na kukuhemea kisogoni[emoji16][emoji16][emoji16] blouse au chupi
Bado hujatapikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji16]Hahahah kimojawapo lazma akiache hapo mezani[emoji28] sema kunywa na mtu anayejifunza ni raha sana hasa akiwa mnafahamiana ndio mnamfundisha!
Kinachotokea ni kwamba vituko vyake vile ni burudani tosha kuliko Mr. Bean atacheka cheka huyo!