Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Wanawake mkilewa mna mambo ya hovyo[emoji38]. Kuna mmoja the first time kumuona ametok kazini akaunga bar ambayo nilikua na rafiki zangu tukakaa nae meza moja maana ni rafiki wa jamaa angu, yule dada akaanza vijistori kwamba yy hataki kabisa mambo ya wanaume na bla bla nyingiii
Alivolewa bana si akanifuata anataka tucheze, mi nikaw namtuliza nikastukia kanipiga na denda anasema nimuangalie kashaanza kulewa. Kufupisha stori ni kwamba mi nilikua namsubiri demu wangu akaja nikawa nae busy na yule dada aliliwa na mwana. Pombe zilivokata akajikuta kaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ooh kwamba hakujua anakulwa?
Sijawahi kulewa hivyo
 
Ww n km tuu mara hulewi mara nn kmb mwanaume shoga I'd umeweka y demu kmmk
Ha ha ha we jamaa nahisi anal sphincter muscles zako zimetanuka, zinahitaji ndonga!

Mi ni mwanaume ndio, ila sifiriii sawa? Endelea kutafuta bashaa mwingine humu akubashieee,

Usinitafutie ban nitakutukana mpaka ukimbie hii ID yako sawa?
 
Ha ha ha we jamaa nahisi anal sphincter muscles zako zimetanuka, zinahitaji ndonga!

Mi ni mwanaume ndio, ila sifiriii sawa? Endelea kutafuta bashaa mwingine humu akubashieee,

Usinitafutie ban nitakutukana mpaka ukimbie hii ID yako sawa?
Tukana mamak nly mfira
 
Ikiwa weekend ndio imeanza mi nimeona ni share hii mada, maana mi nnapo kunywa pombe hasa pale nnapifikisha chupa ya 12 hua naanza kuchukua namba za simu za warembo wanaokatiza mbele ya macho yangu na nikifikisha chupa ya 18 hua nasogea kwenye viti virefu kaunta hapo sasa pombe baridi zinaanza kushuka huku zikisindikizwa na ala ya music laini nakamata pisi yoyote ambayo ipo bling bling nacheza nayo music huku nikimchombeza tuondoke wote tubadili kiwanja au tukalale mwisho mitego yote ikifeli namshawishi tukapige story kwenye gari kisha tutarudi akikubali tu kaisha.. ila kesho yake hua najuta kwanini nlikunywa kiasi kile mpaka nikafanya matukio kishujaa... share tabia yako baada ya kumoka View attachment 1874469
IN ANY SUCCESSFULY DRINKING, THERE IS A PROMISE OF NOT TO DRINK AGAIN...!!!! Ukiona ahadi hiyo hujaiweka ujuwe hukuichapa ile yenyewe
 
Kila aina ya pombe na tabia zake!
Mimi kinywaji changu ni KVANT sio kwamba naipenda sana noo sababu naimudu gharama yake!

Nikilewa kvant huwa natoa siri sana halafu nakuwa mmbea kinoma...
Kama uliniambia ishu ya siri ukanisisitiza nisiiseme!!!...nikinywa kvant nitaitoa tuu halafu hapohapo naanza kujutia...
Najiapia sitakunywa tena kvant!!

Lakini utasema nimeandikiwa fungu langu ni la kvant tuuu.kesho nitainywa.

Bia ni mpenzi wa kili..
Nitakunywa nitalewa vzr nitaongea point taeleweka..
Ila mwisho kvant lazma ihusike..
We jamaa achana na K Vanga mzee baba😅😅😅 tumia hata Gongo
 
Hahahah kimojawapo lazma akiache hapo mezani[emoji28] sema kunywa na mtu anayejifunza ni raha sana hasa akiwa mnafahamiana ndio mnamfundisha!

Kinachotokea ni kwamba vituko vyake vile ni burudani tosha kuliko Mr. Bean atacheka cheka huyo!
Bado hujatapikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji16]

Mbona utamchukia ghaflaa
 
Back
Top Bottom