Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hao nafanana nao..!! Yaani kuna watu ukiwaaga tu unaanza ona sita sita zinakuja mezani..!!! na wakati huo home mbali, na umekuja na ki-IST chako.. KUBAMIZWA NJIANI NJE NJE..!!Ahahaaa ngoja niwatafute walevi wenzangu
Shida ni moja tu ile team wakianza kulewa kila mtu huondoka kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Hao nafanana nao..!! Yaani kuna watu ukiwaaga tu unaanza ona sita sita zinakuja mezani..!!! na wakati huo home mbali, na umekuja na ki-IST chako.. KUBAMIZWA NJIANI NJE NJE..!!
Pombe haitakiwi ma wali yani ile raha yake ni supu na nyama choma basi. Toka nimeanza kupiga sijawahi kurudisha chenjiHuwaga lazma wapige chenji tu sababu unakuta kapiga wali marage wake safi kisha unamtungua na kitu cha uwele safi nyongo lazma ishtuke [emoji28][emoji28][emoji28]
Wanaorudishaga chenji mara nyingi huwa wa hiviPombe haitakiwi ma wali yani ile raha yake ni supu na nyama choma basi. Toka nimeanza kupiga sijawahi kurudisha chenji
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] ni yah, yes , okeee, that's cool manMarekani ilihamia kijiweni kwa muda utasema 2 pac kadondoka hizo slang zake[emoji28][emoji28][emoji28] kisha niliamka next day saa 5 asubuhi...
With my Virgin liver! Chenchi kama zote geto nikaanza kufua na kufanya usafi
Ni kweli kabisa mkuu, hizi mambo ni taratibu kama vile hutaki. Mimi mara ya kwanza kunywa nakumbuka niliziparamia bahati nzuri nilikuwa na bro zangu na ilikuwa nyumbani wakanipeleka chumbani. Tokea siku hiyo ni mdogo mdogo maana unawezakuzima alafu likatokea tatizo mfano kuna jamaa yangu juzi hapa aliji lockia chooni[emoji23]Wanaorudishaga chenji mara nyingi huwa wa hivi
1. Amezikuta za bure au ananunuliwa hivyo hana uhakika wa kuzipata hivi karibuni... Anazitwanga kama zotee..
2. Yupo na mtu anamnunulia, lakini hana uhakika na idadi, hivyo wa serengeti light utamsikia LETE BINGWA, kumbe mwenzie ana chupa kadhaa za kumpa... na yeye atatwanga zote 13 BINGWA
3. Kujaribu jaribu pombe mpya hasa zenye alcohol nyingi kuliko ulizozizowea
Ukishindwa wine hamna pombe utaiwezaTatizo sijawahi kunywa kabisa [emoji23] sijui hata zinanogaje mdomoni.
Si ajabu naweza fika hapo hizo wine zikanishinda kunywa[emoji1787],,wacha nizijaribu kwanza radha yake.
Hata mimi nataka tu nijaribu za wadada hizo wine[emoji4][emoji7],tena nitaonja kidogo tu,,,sitaki ule unywaji mtu anakunywa hadi analewa chakari.Kunywa pombe mkuu sio sifa....kunywa kistarab
Viwine wine, Heineken ndio vinywaji vya wadada, huadhiriki
[emoji23]siku zote mimi mzeeUzee umeanza lini[emoji28]
Siwezi kunywa sana mkuu.Usinywe sana kwa mwanzo utafrah[emoji28][emoji28][emoji28]
Eti eeh[emoji2960]Eeh ni vyema ukaijaribu sio siri utaifurahia!
Hakikisha upo nyumbani lakini au room kwako kisha jilipue π ukimaliza anza kutembea uone unausikiaje mwili!Eti eeh[emoji2960]
Weekend nitanunua moja nijaribu
Kwani unadhani ile chakali inaanzaga siku ya kwanza?? AHahahahahaa Slow but sure, kwenye mwaka wa tatu hukooo.. !! Halafu ukute na home amekuchanganya sasa..!! Ahahahaha Unapiga chakali ya maanaHata mimi nataka tu nijaribu za wadada hizo wine[emoji4][emoji7],tena nitaonja kidogo tu,,,sitaki ule unywaji mtu anakunywa hadi analewa chakari.
Eeh hio inategemea kama una nyongo kali lazma chenji ijibu mzee! Mfano mie konyagi sizipendagi sababu zinanipandisha nyongo sana hata toka nilipokuwa najifunza yani nikigusa nyagi tu lazma nikitupe π π πPombe haitakiwi ma wali yani ile raha yake ni supu na nyama choma basi. Toka nimeanza kupiga sijawahi kurudisha chenji
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku ndio penye ligi ya watu wazima utajifunza mengi sana[emoji28]
Hahahah kipigo cha huku ni cha mkuyenge tu π hamna kipigo kibaya kwa warembo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isiwe tu Kuna virugu na kupigana pigana.
Maana Kuna walevi huwa ni wagomvi balaa.
Kwanza nasikia bia ni kali halafu mbaya mdomoni..mimi kitu kibaya au kichungu siwezi hata kunywa.Safari lager ni sumu kuvu ile asije akaacha blouse bar[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] aisee umenikumbusha mbali, nyagi ile ni mateso sio pombe kabisa. Watu wengi hawaipigi siku hizi ile. Ile unahitajika uwe strong aiseEeh hio inategemea kama una nyongo kali lazma chenji ijibu mzee! Mfano mie konyagi sizipendagi sababu zinanipandisha nyongo sana hata toka nilipokuwa najifunza yani nikigusa nyagi tu lazma nikitupe [emoji28][emoji28][emoji28]
Amesema noo! Sababu anaimudu gharama yake π π πSasa hapa unakunywa kvant kwa mapenzi au sababu ya uwezo kiuchumi[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah kimojawapo lazma akiache hapo mezani[emoji28] sema kunywa na mtu anayejifunza ni raha sana hasa akiwa mnafahamiana ndio mnamfundisha!
Kinachotokea ni kwamba vituko vyake vile ni burudani tosha kuliko Mr. Bean atacheka cheka huyo!