Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Kweli aisee, hizi mota huwa tunafungana nazo sio nzuri . Kuna jamaa yangu anapenda sana hizo Red label huwa anapiga mbili ndogo na anadai hajalewa japo ukimuangalia ni kalewa. Sasa huyu siku akiwa na gari ndio wanapiga mizinga. Ukifuatilia IG na twitter vijana tunatangulia sana akhera aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana! Tena vifo vyetu ni kuendesha motokaa tukiwa tumelewa! Odometer inasoma 140,wewe unadhani upo 40! Unashangaa tu puuuuuuuu! Ndo unakua mwisho!!
 
Sana! Tena vifo vyetu ni kuendesha motokaa tukiwa tumelewa! Odometer inasoma 140,wewe unadhani upo 40! Unashangaa tu puuuuuuuu! Ndo unakua mwisho!!
Familia inapata hasara mara mbili. Kuna wana wanaita kisahani walikua wanapiga stori humu wanadai raha ni kukimaliza chote yani mshale ufike mwisho. Sijui kama bado wapo hai wale wana
Pia huko barabarani watu wana stress, kuna mzee siku moja ilikua kidogo atugonge na ki suzuki chake alikata kona ghafla tu yupo speed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kunyonyesha[emoji1787]

Dah!
 
Ha ha ha ha! Road hua ni noma sana! Hua wanasema unazungusha mshale hadi unaukopa! Matokeo yake Israel anakuita! Unaacha watoto wadogo wanateseka tu! Vijana wenzangu,tukilewa tusiendeshe motokaa!!
Ni kweli kabisa. Tunasahau majukumu. Na familia zetu hizi ukifa watoto watateseka sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilienda kijijini moshi msimu wa sikuku za wachaga, kule mashambani hakuna usafiri mwingine zaidi ya one ten ya mzee, tulizipiga mbundi na marafiki wa zaman, sijui ilikuaje nikaanguka na pikipiki ikanilalia mpaka saa kumi na moja alfajiri na mimaji ile na kabaridi flani hata sikushtuka, nimejikuta na majeraha kibao, kila kitu mfukoni nilikua nacho sijaibiwa ila simu zote zimetota maji, ziko kwa fundi mpaka leo sijazifataga tena.
 
Sasa utest ukiwa ushaandaa mazingira usije ukaparamia watu!

Ni cream liquor inatengenezwa TZ. Tamu kuliko amarula. Ina ladha ya maziwa pure. Na inashuka chini vibaya mno.

Chupa ndogo 200mls RRP yakeni 6,000 TZS kama sikosei.
Hizi mambo za Zanzi kukimbilia chini mnazotoa wapi, hii ni liquor kwa ajili ya digestion, sasa nashindwa elewa inaingilianaje na huko chini?
 
Mzee sikuwahi kuumia wala kuwa na majeraha ila safar ile nilipata ngeu kama mwizi.
 
Hatimaye nime unsubscribe huu Uzi Uzi haueleweki huuuuuuu Toka MTOA mada Hadi haya MAPUNGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…