Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kweli aisee, hizi mota huwa tunafungana nazo sio nzuri . Kuna jamaa yangu anapenda sana hizo Red label huwa anapiga mbili ndogo na anadai hajalewa japo ukimuangalia ni kalewa. Sasa huyu siku akiwa na gari ndio wanapiga mizinga. Ukifuatilia IG na twitter vijana tunatangulia sana akhera aiseYaani we acha tu! Sijui hua kanakuja ka pepo gani tu! RIP Maza! Halafu washikaji ndiyo hua wajinga sana,unasikia Mimi juzi nimepiga Windhoek kama 20,na sikulewa! Hebu pia mbili,za faster one for road,mwingine anasema Mimi nilikata JD moja ndogo na Led Label kubwa na sikulewa! Kumbe ni story tu! IGA uone sasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app