Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye kutoa siri saaasa
 
Hahaa Saint Anne hainuki kihivo bana

Mbona nzuri tu mrembo? Mie mwenyewe sio mtu wa pombe ila hiyo naipiga angalau glass moja

Tena nilianza kuonjea kwa watu nikaielewa, kesho yake nikanunua chupa yangu mwenyewe nikaanza kunywa mdogo mdogo kwa siku bila madhara yoyote

Ila sijui kwanini ile siku namalizia kidogo nikahisi kama kizunguzungu na toka siku hiyo sijainywa tena[emoji86]
 
Mimi ile harufu yake aisee,,Yule mtu alipita nayo rum nikamwambia aitoe maana inanuka vibaya mno.

Aisee Kuna kujisikia kizunguzungu tena?[emoji134]
 
Nina rafiki yangu akilewa anaanza kulia na kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki woote waliokufa.

Mwingine yeye ni kucheka, yaani anakuwa na furaha hatari.
Hapo kwenye kulia mi hua ndo wananiachaga hoi aise[emoji23]

Yani ni kulalamika na kulia juu daah[emoji28]
 
Nilishamwambiaga DJ anipangie DANCE YA BANAKONGOLE (Koffi), Allo Telephone (Fally Ipupa) afu amalizie na NYAQUATANCE (koffi) nikamwagia hela ya bia 3, nikasepa kusubiria.. alizipanga afu akazirudia.. NILIGHAIRISHA KUONDOKA
Ukalala hapo hapo
 
Nakuwa confident sana naweza hata ingia kituo cha polisi nianze kuhoji maaskari
 
Mimi ile harufu yake aisee,,Yule mtu alipita nayo rum nikamwambia aitoe maana inanuka vibaya mno.

Aisee Kuna kujisikia kizunguzungu tena?[emoji134]
Sasa hata sielewi why siku ya mwisho kumalizia ndo nipate hicho kizunguzungu wakati siku zote hizo haikua na madhara lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…