Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye kutoa siri saaasaKila aina ya pombe na tabia zake!
Mimi kinywaji changu ni KVANT sio kwamba naipenda sana noo sababu naimudu gharama yake!
Nikilewa kvant huwa natoa siri sana halafu nakuwa mmbea kinoma...
Kama uliniambia ishu ya siri ukanisisitiza nisiiseme!!!...nikinywa kvant nitaitoa tuu halafu hapohapo naanza kujutia...
Najiapia sitakunywa tena kvant!!
Lakini utasema nimeandikiwa fungu langu ni la kvant tuuu.kesho nitainywa.
Bia ni mpenzi wa kili..
Nitakunywa nitalewa vzr nitaongea point taeleweka..
Ila mwisho kvant lazma ihusike..