Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Njoo Mawasilano tuone kama hautalewa
Sogeeni na huku tabata

IMG-20210625-WA0005.jpg
 
[emoji85]

Nina stress sana brother..hadi nawaza kutumia pombe,labda itapunguza machungu yangu na kunipa usingizi.

Kulala usiku imekuwa mtihani sana kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na changamoto unazopitia mdogo wangu bado nakushauri usithubutu kujaribu

Naamini ukitumia haita kuondolea hizo stress bali itakupa break tu kwa muda na itakuongezea zaidi ya hizo uzipatazo

Ninaamini zitakwisha tu jitahudi kuvuta subira tuu
 
Kumbe inapunguza stress kwa muda!
Na mimi nataka inipunguzie usiku tu ili niweze kulala.
Mchana sina changamoto Sana..nakuwa normal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na changamoto unazopitia mdogo wangu bado nakushauri usithubutu kujaribu

Naamini ukitumia haita kuondolea hizo stress bali itakupa break tu kwa muda na itakuongezea zaidi ya hizo uzipatazo

Ninaamini zitakwisha tu jitahudi kuvuta subira tuu

Usikunywe pombe dear
Wengine tumeanza toka primary school kuacha mpaka Kaburi liamue
 
Back
Top Bottom