Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Dom nimekaa miaka mingi sana,nimeishia kupajua jamatin.
Sijui kwanini sikujaribu kujichanganya na mm siku moja niende huko Pestana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale nyerere square kwa hivi kidogo kama waja halotel unaikuta maisha club kwa nje palikuwaga na vyuku amazing ila hawajawafikia chako ni chako.

Usiniambie pia ulikuwa huli kuku. Na bakhresa pia?
 
Hana anachojua... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wala hana shida anaona sawa tu.

Yeye na mpenzi wake wote ni kanisani then nyumbani [emoji23][emoji23]
 
Basi kichwa tu unakichezesha kwa kunyoosha na kufupisha shingo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku unageuka kushoto then kulia taratiiibu
Hahahaha weweeee

Unaonesha ni benga mmoja pro max 😎
 
Pale nyerere square kwa hivi kidogo kama waja halotel unaikuta maisha club kwa nje palikuwaga na vyuku amazing ila hawajawafikia chako ni chako.

Usiniambie pia ulikuwa huli kuku. Na bakhresa pia?
Mweee[emoji134]
Mimi hata msalato sijawahi fika .

Huko kote sikujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee.

Sijui hata nini kilinisibu na wakati vijihela vilikuwa havinipiti pembeni .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana anachojua... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wala hana shida anaona sawa tu.

Yeye na mpenzi wake wote ni kanisani then nyumbani [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ni mvivu kutembea aiseee.
Dom siijui kabisa.

Muda wangu mwingi nilikuwa nalala zangu rum,nikitoka hapo jioni ni kanisani,darasani,cafe,kwenye maombi,kulala imeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana anachojua... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wala hana shida anaona sawa tu.

Yeye na mpenzi wake wote ni kanisani then nyumbani [emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 nacheka leo

Ila anazingua. Ina maana ulikuwa huli lunch town? Daily cafeteria? Ukienda mjini basi bondeni kule 😂 Saint Anne mimi sizuruli sana, ila nikiingia eneo jipya lazima nilizungukie kwanza kabla ya kutulia.
 
Back
Top Bottom