Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Kumbe inapunguza stress kwa muda!
Na mimi nataka inipunguzie usiku tu ili niweze kulala.
Mchana sina changamoto Sana..nakuwa normal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaa yaani ww pamoja na watu kukushauri kwa nguvu zote kuwa usijaribu umekomaa tu kupangua hoja zao basi amini ulevi unakunyemelea na ukijaribu tu umekwisha.

Stay away from pombe dada yangu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bora hata umgawie, imagine ukimpiga kabari ili UMBAKE kwa kuzidiwa na genye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 manina zako utanigegeda leo UTAKE USITAKE 🤣🤣🤣🤣🤣
Saint Anne ilinifanya mbaya😂😂,, unaweza mgawia hata mpita njia
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bora hata umgawie, imagine ukimpiga kabari ili UMBAKE kwa kuzidiwa na genye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 manina zako utanigegeda leo UTAKE USITAKE 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaweza kufikia hatua hiyo kwa hali ile niliyohisi siku ile, miwasho miwasho kweli,nashukuru alipatikana wa kushughulika nayo,,, upande ule wa 💦💦 ndo ilikuwa balaa mafuriko ya adabu,🙌🙌 nilishaacha tabia mbaya lakini,
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
SLIPPERY WHEN WET pichu chepe chepe!!! 🤣🤣usicheze kabisa na genye.

Nyama mbichi teketeke, kitu laini,, mwili unageuzwa kilevi levi,,,kifuatacho ni kujisevia tu mpk uchoke mwenyewe, 🙌🙌 pombe mwanaharamu ndo maana siipendi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hahahahahaha mgegedaji anajisevia kwa style apendayo wewe uko CHAKARI 😂😂😂 ugwadu wake ukiisha anafunika anasepa zake. 🤣🤣🤣🤣
Nyama mbichi teketeke, kitu laini,, mwili unageuzwa kilevi levi,,,kifuatacho ni kujisevia tu mpk uchoke mwenyewe, 🙌🙌 pombe mwanaharamu ndo maana siipendi
 
Ziko pombe ni nzuri unaweza ukanywa ama ukachanganyiwa kwenye juice ama mocktails na usijue kama umewekewa pombe.

Mfano kuna vermouth (martin bianco ama martin rosso)hizi ni sweet and sour, na hazina kale kaukali ka u spirit, ukionja utataka uongeze tena na tena na tena mwisho utalewa kabisa.

Martin rosso nilimnunulia wife kipindi flani akaipenda sana ila nimeitafuta sana mpk leo sijaipata tena.
 
Malaika sikuwahi ipenda. Ilikuwa inajaza sana.. Nilikuwa napita tu ila naishia chini, kule juu/ VIP sikuwahi kanyaga.

Kwangu palikuwa Rainbow na Platinumz

Platinumz kale kameneja kanashobo sana.
 
Back
Top Bottom