Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Aiseeee.Sasa hata sielewi why siku ya mwisho kumalizia ndo nipate hicho kizunguzungu wakati siku zote hizo haikua na madhara lol
Basi siku hiyo itakuwa ulikuwa unaumwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee.Sasa hata sielewi why siku ya mwisho kumalizia ndo nipate hicho kizunguzungu wakati siku zote hizo haikua na madhara lol
Hapana, nikachelewa kurudiUkalala hapo hapo
I was perfect fine,labda wabobezi waje waniambie nini ilikua mbaya[emoji23]Aiseeee.
Basi siku hiyo itakuwa ulikuwa unaumwa.
Ngoja wajuvi watakuja kutoa ufafanuzi[emoji23]I was perfect fine,labda wabobezi waje waniambie nini ilikua mbaya[emoji23]
Yaani duniani kuna mambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo moshi wake unalewesha?
Usinitie majaribuni bwana wewe😂😂Pita huku tupate mvinyo 😂😂😂😂 unakunywa nini nikununulie? 🤣🤣🤣🤣🤣
We acha, ni mimi na wewe tunapitwaYaani duniani kuna mambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ndio kwanza naona hapa jukwaani hizo habari za kuvuta Moshi[emoji23]We acha, ni mimi na wewe tunapitwa
Usinitie majaribuni bwana wewe😂😂
Khaaaa yaani ww pamoja na watu kukushauri kwa nguvu zote kuwa usijaribu umekomaa tu kupangua hoja zao basi amini ulevi unakunyemelea na ukijaribu tu umekwisha.Kumbe inapunguza stress kwa muda!
Na mimi nataka inipunguzie usiku tu ili niweze kulala.
Mchana sina changamoto Sana..nakuwa normal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne ilinifanya mbaya😂😂,, unaweza mgawia hata mpita njiaNiambie mvinyo uupendao na saa ngapi utapita ili tupunguze ugwadu 😋😋😋
Saint Anne ilinifanya mbaya😂😂,, unaweza mgawia hata mpita njia
Yaweza kufikia hatua hiyo kwa hali ile niliyohisi siku ile, miwasho miwasho kweli,nashukuru alipatikana wa kushughulika nayo,,, upande ule wa 💦💦 ndo ilikuwa balaa mafuriko ya adabu,🙌🙌 nilishaacha tabia mbaya lakini,🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bora hata umgawie, imagine ukimpiga kabari ili UMBAKE kwa kuzidiwa na genye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 manina zako utanigegeda leo UTAKE USITAKE 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaweza kufikia hatua hiyo kwa hali ile niliyohisi siku ile, miwasho miwasho kweli,nashukuru alipatikana wa kushughulika nayo,,, upande ule wa 💦💦 ndo ilikuwa balaa mafuriko ya adabu,🙌🙌 nilishaacha tabia mbaya lakini,
Nyama mbichi teketeke, kitu laini,, mwili unageuzwa kilevi levi,,,kifuatacho ni kujisevia tu mpk uchoke mwenyewe, 🙌🙌 pombe mwanaharamu ndo maana siipendiSLIPPERY WHEN WET pichu chepe chepe!!! 🤣🤣usicheze kabisa na genye.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Saint Anne ilinifanya mbaya[emoji23][emoji23],, unaweza mgawia hata mpita njia
Nyama mbichi teketeke, kitu laini,, mwili unageuzwa kilevi levi,,,kifuatacho ni kujisevia tu mpk uchoke mwenyewe, 🙌🙌 pombe mwanaharamu ndo maana siipendi
Nikinywa pombe kali napoteza kumbukumbu, napenda sana beer, nikiwa sijanywa ni mpole sana na mstarabu. Nikilewa nakuwa mwongo sana na ahadi nyingi za uwongo afu naongea sana mpaka naboa. "Nimeacha" View attachment 1874664View attachment 1874665
Ziko pombe ni nzuri unaweza ukanywa ama ukachanganyiwa kwenye juice ama mocktails na usijue kama umewekewa pombe.
Mfano kuna vermouth (martin bianco ama martin rosso)hizi ni sweet and sour, na hazina kale kaukali ka u spirit, ukionja utataka uongeze tena na tena na tena mwisho utalewa kabisa.
Malaika sikuwahi ipenda. Ilikuwa inajaza sana.. Nilikuwa napita tu ila naishia chini, kule juu/ VIP sikuwahi kanyaga.
Kwangu palikuwa Rainbow na Platinumz