Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ikiwa weekend ndio imeanza mi nimeona ni share hii mada, maana mi nnapo kunywa pombe hasa pale nnapifikisha chupa ya 12 hua naanza kuchukua namba za simu za warembo wanaokatiza mbele ya macho yangu na nikifikisha chupa ya 18 hua nasogea kwenye viti virefu kaunta hapo sasa pombe baridi zinaanza kushuka huku zikisindikizwa na ala ya music laini nakamata pisi yoyote ambayo ipo bling bling nacheza nayo music huku nikimchombeza tuondoke wote tubadili kiwanja au tukalale mwisho mitego yote ikifeli namshawishi tukapige story kwenye gari kisha tutarudi akikubali tu kaisha.. ila kesho yake hua najuta kwanini nlikunywa kiasi kile mpaka nikafanya matukio kishujaa... share tabia yako baada ya kumoka View attachment 1874469
Kucheka cheka ovyo
 
Napigia simu yeyote nitakayemkumbuka..!! Kivumbi kesho yake sasa nnapopitia simu zilizopigwa..!! Unakuta umempigia hadi anayekudai na ulikuwa unamkimbia siku zote..!! Ishu si hapo, ila ULIOWAPIGIA UMEONGEA NAO NINI?

We Bantu Lady embu njoo nawe utoe ushuhuda hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikiwa naenda kulala mawazo yananipeleka ibiza najiona nakula upepo mzuri huku kende zikiendelea kunyooka barabara!!!!
 
Back
Top Bottom