Ukiliangalia vizuri na umakini goli walilofunga KMC utagundua Diarra ni shati!

Ukiliangalia vizuri na umakini goli walilofunga KMC utagundua Diarra ni shati!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini ni kazi ya washambuliaji kutungua kutokea mbali!.

Diarra ni shati...
 
Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga kmc hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini ni kazi ya washambuliaji kutungua kutokea mbali!......
Diarra ni shati...
Kwani diarra kakufanyaje? Kutunguliwa atunguliwe diarra lakini maumivu upate wewe kolo hii imekaaje?
 
Kwani diarra kakufanyaje? Kutunguliwa atunguliwe diarra lakini maumivu upate wewe kolo hii imekaaje?
Hakuna kipa pale......kipa wa kweli hafungwi goli jepesi ananguka kama yupo kwenye godoro!
 
Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga kmc hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini ni kazi ya washambuliaji kutungua kutokea mbali!......
Diarra ni shati...
Ukimsema Diarra ni shati hakikisha golikipa wako kafikia hata rekodi ya hilo shati
 
Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    9.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom