secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Vyote; maulidi pamoja na vaziKitenge maulid mnazi wa mwiko nyuma au kitende vazi? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote; maulidi pamoja na vaziKitenge maulid mnazi wa mwiko nyuma au kitende vazi? 😂
YeahKitenge chenye picha ya mwenge yaani chujio!
Ndo unaulizia mashuka yakeNdio huyo huyo diarra!
Fabian yupi una ongelea? Mpira umeimgiliwà na kina mamaHoja mufilisi fabian bathez alikuwa na tuzo ya dunia lakini mwisho wa siku alikuwa shati sembuse hili pazia la chooni watu wanajitungulia toka mbagala mpaka kariakoo walete!
Kwa hiyo mashangazi na madada wanakasirika!Fabian yupi una ongelea? Mpira umeimgiliwà na kina mama
Goli kama hili diwezi kumlaumu Diarra zaidi nitamsifu mpigaji kwa ubora wake. Halafu kufungwa magoli kama haya ni kawaida, umesahau Chasambi alivyomtungua Camara goli ambalo halina tofauti sana na hilo linalokuzuzua.atafika tu ila rekodi hii hapo kwenye kideo camara hawezi fika abadani wapi sele bwenzi 😂
Yagangwe yajayo...
Utofauti upo mkubwa tu sele bwenzi alifunga goli akiwa kwenye circle ya kuanzia mpira diarra akazama nao ndani baada ya mpira kumshinda kimoGoli kama hili diwezi kumlaumu Diarra zaidi nitamsifu mpigaji kwa ubora wake. Halafu kufungwa magoli kama haya ni kawaida, umesahau Chasambi alivyomtungua Camara goli ambalo halina tofauti sana na hilo linalokuzuzua.
Hivi unajua unachoongea wewe?Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini ni kazi ya washambuliaji kutungua kutokea mbali!.
Diarra ni shati...
Hajitambui huyo ving'amuzi zimekuja na wingi wa vioja!Utofauti upo mkubwa tu sele bwenzi alifunga goli akiwa kwenye circle ya kuanzia mpira diarra akazama nao ndani baada ya mpira kumshinda kimo
chasambi alijifunga baada ya kamara kutoka golini kwenda kuanzisha mashambulizi na ni scenario tofauti kabisa
Halafu hujamsifu mfungaji wa goli la jana 😂
Naenda nae taratibu mpaka achomoe mwiko wake nyumaHajitambui huyo ving'amuzi zimekuja na wingi wa vioja!
Hauna unacho kujua kuhusu football huwezi kusema Fabien Bartez alikua kipa shati ukawa na akili timamuKwa hiyo mashangazi na madada wanakasirika!
Baterz alikuwa shati unataka hivyo hutaki hivyo kama kipindi hicho ulikuwa ukifuta kamasi kwa mkono tafuta video zake uangalie kina steven gerald na Raul gonzalez walivyokuwa wanamchungulia!Hauna unacho kujua kuhusu football huwezi kusema Fabien Bartez alikua kipa shati ukawa na akili timamu
Mnajifanya mmesahau magoli aliyotunguliwa kipa wenu Kamala na Coastal.Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini ni kazi ya washambuliaji kutungua kutokea mbali!.
Diarra ni shati...
Yale ni magoli hata kipa wa dunia Allison becker anafungwa ni ya viwango sio lile la kilemavu shuti mate ya mlevi kipa ana matatizo ya miguu na kiuno kifupi sio flexible!Mnajifanya mmesahau magoli aliyotunguliwa kipa wenu Kamala na Coastal.