kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kwani diarra kakufanyaje? Kutunguliwa atunguliwe diarra lakini maumivu upate wewe kolo hii imekaaje?Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga kmc hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini ni kazi ya washambuliaji kutungua kutokea mbali!......
Diarra ni shati...
Game ya JKt uliangalia?Sidhani kama jamaa amewahi kuwa mzuri kwenye save za kudaivu. Sifa yake kubwa ni footwork na kuchezesha timu. Huyu Diarra wakirudi naye mwakani, kimataifa lazima waishie tena makundi.
Hakuna kipa pale......kipa wa kweli hafungwi goli jepesi ananguka kama yupo kwenye godoro!Kwani diarra kakufanyaje? Kutunguliwa atunguliwe diarra lakini maumivu upate wewe kolo hii imekaaje?
Si kwa magoli rahisi!Kufungwa kupo Tu Sababu mpira ni mchezo WA makosa ,Sion maajabu sema baadhi yetu tunaona kufungwa kwa Mtu ni dhambi kubwa
Nilicheki highlights. Nadhani alifanya save moja ya kudaivu ila point yangu iko pale pale. Nadhani kimo ndiyo tatizo lake kubwa.Game ya JKt uliangalia?
Tunashangaa kwa sababu tuliimbishwa unaifungaje?Kufungwa kupo Tu Sababu mpira ni mchezo WA makosa ,Sion maajabu sema baadhi yetu tunaona kufungwa kwa Mtu ni dhambi kubwa
Basi ,naona mjadala uishie hapaNilicheki highlights. Nadhani alifanya save moja ya kudaivu ila point yangu iko pale pale. Nadhani kimo ndiyo tatizo lake kubwa.
Mdaka mishale kageuka mdaka panzi!Acha atunguliwe tuu hakuna namna
Pia aache kuvaa "kata nduku" inamfanya akose utimamu wa kimwili kuweza kuruka ipasavyoBasi ,naona mjadala uishie hapa
Yanga kuwafunga KMC sio habari, ishu ni hii vita isiyo rasmi ya mashabiki(team DIARRA vs team CAMARA)Kikubwa tumewapiga goals 6
Ukimsema Diarra ni shati hakikisha golikipa wako kafikia hata rekodi ya hilo shatiDiarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga kmc hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini ni kazi ya washambuliaji kutungua kutokea mbali!......
Diarra ni shati...
Mkuu unakumbuka kauli ya Rage?Ukimsema Diarra ni shati hakikisha golikipa wako kafikia hata rekodi ya hilo shati
ALiwaita mbumbumbuπMkuu unakumbuka kauli ya Rage?
πππ