Unaangaika na ilo kolo lenye maumivu makali kwa vichapo anavyotoa yanga,,ebu achana nalo!Huna hoja zaidi ya utumbo ni mipasho na nilishaanza kujisahau wewe ni mbumbumbu. Ukirudi kwenye hoja na ukasimamia hapo nitarudi tuzungumze mpaka sasa baki na ujinga wako.
Hakika kizazi cha supu hujifanya wanajua ila kama ni goli tano wenye kuijua yanga kipigo cha goli 5 bila mpaka kaseja anapiga msumari wa mwisho hawawezi kujitoa ufahamu ni juzi kati vipigo vya mfululizo walikuwa wakituhumu tff inahujumu nyuma mwiko ila kwa kuwa supu na moshi wa kuni imeondoka na akili kama manara alivyosema!Unaangaika na ilo kolo lenye maumivu makali kwa vichapo anavyotoa yanga,,ebu achana nalo!
Kizazi cha supu nyuma mwiko hawalijui hili!Diarra ni pazia la chooni hakuna kitu.
Diarra cleansheet=9
Camara cleansheet=14
Diarra kazidiwa cleansheet 5 na camara. Kwa msimu huu kipa bora wa NBC PREMIER LEAGUE ni MUSA PINPIN CAMARA A.K.A "SPIDER MAN".
atafika tu ila rekodi hii hapo kwenye kideo camara hawezi fika abadani wapi sele bwenzi 😂Ukimsema Diarra ni shati hakikisha golikipa wako kafikia hata rekodi ya hilo shati
Akakosa cleansheet 😂 yaani diarra mwenyew alitoka goliniBaada ya kutunguliwa ikawaje
Mashuka yapiMashuka ya rangi gani!
Kwani wewe unamuongelea nani?Mashuka yapi
DUuh ndio hivyo.....Wachezaji siku hizi wanabeti mkuu labda aliweka gg.
DiarraKwani wewe unamuongelea nani?
Wakati nacheza mpira,tz kama nchi hatukuota kua na kituo cha tv kitachorusha matangazo ya mpiraAsiyejua siku zote hujinasibu anajua kwa mpira gani uliocheza..mpira wa kusikia kwenye redio shukuru azam tv!
Tena shati la kitenge.Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini ni kazi ya washambuliaji kutungua kutokea mbali!.
Diarra ni shati...
Kitenge maulid mnazi wa mwiko nyuma au kitende vazi? 😂
Kumbe Kuna kombe la cleen sheet? Sikujua na cleen sheet zinaondoa class yake sio!Akakosa cleansheet 😂 yaani diarra mwenyew alitoka golini
Kitenge chenye picha ya mwenge yaani chujio!
Mpaka hapa bado upo kwenu unachezea magari ya mabati nimefunga mjadala nawe!Wakati nacheza mpira,tz kama nchi hatukuota kua na kituo cha tv kitachorusha matangazo ya mpira
Ndio huyo huyo diarra!Diarra