Ukiliangalia vizuri na umakini goli walilofunga KMC utagundua Diarra ni shati!

Hoja mufilisi fabian bathez alikuwa na tuzo ya dunia lakini mwisho wa siku alikuwa shati sembuse hili pazia la chooni watu wanajitungulia toka mbagala mpaka kariakoo walete!
Fabian yupi una ongelea? Mpira umeimgiliwΓ  na kina mama
 
atafika tu ila rekodi hii hapo kwenye kideo camara hawezi fika abadani wapi sele bwenzi πŸ˜‚
Goli kama hili diwezi kumlaumu Diarra zaidi nitamsifu mpigaji kwa ubora wake. Halafu kufungwa magoli kama haya ni kawaida, umesahau Chasambi alivyomtungua Camara goli ambalo halina tofauti sana na hilo linalokuzuzua.
 
Goli kama hili diwezi kumlaumu Diarra zaidi nitamsifu mpigaji kwa ubora wake. Halafu kufungwa magoli kama haya ni kawaida, umesahau Chasambi alivyomtungua Camara goli ambalo halina tofauti sana na hilo linalokuzuzua.
Utofauti upo mkubwa tu sele bwenzi alifunga goli akiwa kwenye circle ya kuanzia mpira diarra akazama nao ndani baada ya mpira kumshinda kimo
chasambi alijifunga baada ya kamara kutoka golini kwenda kuanzisha mashambulizi na ni scenario tofauti kabisa
Halafu hujamsifu mfungaji wa goli la jana πŸ˜‚
 
Hivi unajua unachoongea wewe?
Angalia hii, kosa lake lilo wapi?


View: https://youtu.be/EUoMTfxuAiY
 
Hajitambui huyo ving'amuzi zimekuja na wingi wa vioja!
 
Hauna unacho kujua kuhusu football huwezi kusema Fabien Bartez alikua kipa shati ukawa na akili timamu
Baterz alikuwa shati unataka hivyo hutaki hivyo kama kipindi hicho ulikuwa ukifuta kamasi kwa mkono tafuta video zake uangalie kina steven gerald na Raul gonzalez walivyokuwa wanamchungulia!
 
Mnajifanya mmesahau magoli aliyotunguliwa kipa wenu Kamala na Coastal.
 
Mnajifanya mmesahau magoli aliyotunguliwa kipa wenu Kamala na Coastal.
Yale ni magoli hata kipa wa dunia Allison becker anafungwa ni ya viwango sio lile la kilemavu shuti mate ya mlevi kipa ana matatizo ya miguu na kiuno kifupi sio flexible!
 
Diarra bado anaendeleza clean sheet huko.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…