Ukim-beep mwenza wako, atachukua muda gani kabla ya kukupigia?

Sijawahi kubeep mkuu, mimi hua nikiwa na jambo nampigia tu.
Ngoja tuone wenye uzoefu waje...
 
Mi sinaga dakika au MB kabda itokee emergency naunga dk au Mb za jero. Ila msg ninazo hadi za mwaka 2080 sijui.
 
last time i checked ilikuwa siku 2, unless awe wa tofauti hivi sasa.
 
Sina kawaida ya ku beep, huwa napiga japo mara chache, ila Nina mazoea ya kutuma text.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…