mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ila mzee hakusema popote yeye ni smart hayo unasema wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mume wa mama yakoKatika wake zake Wewe ni yupi? Maana umekuja ume panic sana. Huwezi kuwa ni mtu wa kawaida kwake.
Hana hoja alimradi aandike kumlaumu tuunamshtumu mtu lkn huweki ushahidi wowote kusapoti hoja yako mkuu
Assad is being overrated!! Ni Huyu Huyu Assad akiwa kwenye board ya Nssf na Mwenyekiti wa Audit Committee ya shirika hilo na Rafiki yake Ramadhan Dau akiwa mkurugenzi mkuu; shirika lilitoa mikopo na pia uwekezaji kwenye real estate ambao kwa vigezo vyote ilikuwa ya kifisadi!Unaendeshwa na mihemko zaidi!
Mtu makini hujenga hoja na wala si kufanya personal attack dhidi ya mtu.
Hayo mambo uliyogundua mbona hujayaleta hapa jukwaani?
Ndugu, acha hii malicious gossip.H
Prof Assad nadhani ni mdini.Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. Ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana.
Ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize Prof Safari alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. Prof Assad alikuwa anasukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo.
Tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za Afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. Huyu prof aliendeshwa na miheko zaidi kuliko uhalisia.
Mdini....Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. Ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana.