Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

Ila mzee hakusema popote yeye ni smart hayo unasema wewe.
 
Unaendeshwa na mihemko zaidi!
Mtu makini hujenga hoja na wala si kufanya personal attack dhidi ya mtu.
Hayo mambo uliyogundua mbona hujayaleta hapa jukwaani?
Ndugu, acha hii malicious gossip.H
Assad is being overrated!! Ni Huyu Huyu Assad akiwa kwenye board ya Nssf na Mwenyekiti wa Audit Committee ya shirika hilo na Rafiki yake Ramadhan Dau akiwa mkurugenzi mkuu; shirika lilitoa mikopo na pia uwekezaji kwenye real estate ambao kwa vigezo vyote ilikuwa ya kifisadi!
Mikopo walipewa wakina Manji ndio hiyo inaoza pale Quality plaza ; majumba yalijengwa Kigamboni haya kupata wateja etc! Matokeo yake shirika limekuwa financially stressed na kushindwa kuwalipa wateja wao!

Assad na Rafiki yake Dau na ndugu zao wakaishia kujiuzia nyumba za Nssf kwa bei ya kutupa; nyumba aliyonunua Assad iko Tanga kama bado hajaiuza!
Huyo ndio Assad anayejipambanua kwa uadilifu!
 
Prof Assad nadhani ni mdini.
 
Umetumwa kuja ku discredit prof Mussa Hassad lakini hicho ni chuma cha reli hakishiki kutu.

Wasomi wanaoongea ukweli hapa bongo ni wachache Assad akiongoza.
 
Mdini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…