Usiende offisini kwao airtel nenda kqa viwakala walio mtaani wanakufanyia hiyo haraka.Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
Nenda kwa wakala, waambie wakurudiashie line yako.Ilisajiliwa kwa jina la mtu mwingine enzi hizo na nilipoenda ofisini kwao wakawa wananipanga tu mara nije baada ya wiki mbili, nikajaza form lakini hamna kitu, mpaka imepotea, na nishaisajili kwenye huduma muhimu
Hujaelewa wanachosema yani kuwa na line zaid ya moja mtandao mmoja, mfano voda uwe na voda 1, na voda 2, uwe unaelewa kabla hujatoa matamshi kelwaNchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi
Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
bora wewe hukuathirika kwa faida mm nilikuwa na line 2 na zina mikopo mikubwa tu zikapotea nikawafuata ili nifufue, wakaniuliza majina ma5 du nikakosea wamenitisha kuwa hawawezi kuzifufua kabisa nilitoka nimeinama na SIZIFUFUI.Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
Bora wewe hukuathirika kwa faida mm nilikuwa na line 2 na zina mikopo mikubwa tu zikapotea nikawafuata ili nifufue, wakaniuliza majina ma5 du nikakosea wamenitisha kuwa hawawezi kuzifufua kabisa nilitoka nimeinama na SIZIFUFUI
Tcra Ina husika na uchaguzi sikujua Hilo [emoji23]Wapo bize na uchaguzi
We ndo mgumu kuelewa mbna apo kasema analain zaidi ya moja ya mtandao mmoja ama unataka kumaanisha hajaelewa nini?Hujaelewa wanachosema yani kuwa na line zaid ya moja mtandao mmoja, mfano voda uwe na voda 1, na voda 2, uwe unaelewa kabla hujatoa matamshi kerwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahusishwa na uchaguzi.Tcra Ina husika na uchaguzi sikujua Hilo [emoji23]
Mkuu umeedit hadi umepotea njia, Kama hiyo sms NDIVYO ilivyo Basi nusu ya watanzania wanaomiliki cm wangepata ujumbe huo.Tarehe 27 na 29 Juni, 2020, nilitumiwa sms hizi...
MUHIMU
You registered more than 1 SIM card using your NIDA ID.
TCRA requires you to verify
the numbers you own,dial
*106# to check.
FRANK so sawa na FRENK, EMMANUEL sio sawa na EMANUEL, HUSSEIN na HUSEIN, MOHAMMAD na MOHAMAD, JAQLEEN au JACKLIN ni muhimu sana kuzingatia uandishi wa majina hasa unapoenda kuchukua kitambulisho, leseni au passportNina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
Nina-screenshort... halafu bisha na hiiMkuu umeedit hadi umepotea njia, Kama hiyo sms NDIVYO ilivyo Basi nusu ya watanzania wanaomiliki cm wangepata ujumbe huo.
Au Mkuu ni hao mayai ndio yanaleta shida omba tu utafsiriwe
Najua ukiisoma hii comment yako unatamani uifute sema ndio hivyo tu basi.Hujaelewa wanachosema yani kuwa na line zaid ya moja mtandao mmoja, mfano voda uwe na voda 1, na voda 2, uwe unaelewa kabla hujatoa matamshi kelwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unaamini hivyo NDIVYO inapaswa kuwa? Huwezi kutumia akili zako unaenda Kama roboti.Nina-screenshort... halafu bisha na hiiView attachment 1493126
We pia hujamuelewa jamaaHujaelewa wanachosema yani kuwa na line zaid ya moja mtandao mmoja, mfano voda uwe na voda 1, na voda 2, uwe unaelewa kabla hujatoa matamshi kelwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.Na wewe unaamini hivyo NDIVYO inapaswa kuwa? Huwezi kutumia akili zako unaenda Kama roboti.
Jamaa haelewi hadi anajidhalilisha. Ujuwaji ni shidaWe pia hujamuelewa jamaa
We ni mgumu kuelewaWe ndo mgumu kuelewa mbna apo kasema analain zaidi ya moja ya mtandao mmoja ama unataka kumaanisha hajaelewa nini?