Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Usiende offisini kwao airtel nenda kqa viwakala walio mtaani wanakufanyia hiyo haraka.Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app