Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
Usiende offisini kwao airtel nenda kqa viwakala walio mtaani wanakufanyia hiyo haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi

Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Hujaelewa wanachosema yani kuwa na line zaid ya moja mtandao mmoja, mfano voda uwe na voda 1, na voda 2, uwe unaelewa kabla hujatoa matamshi kelwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
bora wewe hukuathirika kwa faida mm nilikuwa na line 2 na zina mikopo mikubwa tu zikapotea nikawafuata ili nifufue, wakaniuliza majina ma5 du nikakosea wamenitisha kuwa hawawezi kuzifufua kabisa nilitoka nimeinama na SIZIFUFUI.
 
Bora wewe hukuathirika kwa faida mm nilikuwa na line 2 na zina mikopo mikubwa tu zikapotea nikawafuata ili nifufue, wakaniuliza majina ma5 du nikakosea wamenitisha kuwa hawawezi kuzifufua kabisa nilitoka nimeinama na SIZIFUFUI

Mambo za majina sijui namba TANO ni ya zamani sana, siku hizi hivi viwakala uchwara tu njiani vinafufua. Buku mbili tu bwashee.
 
Hujaelewa wanachosema yani kuwa na line zaid ya moja mtandao mmoja, mfano voda uwe na voda 1, na voda 2, uwe unaelewa kabla hujatoa matamshi kerwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo mgumu kuelewa mbna apo kasema analain zaidi ya moja ya mtandao mmoja ama unataka kumaanisha hajaelewa nini?
 
Tarehe 27 na 29 Juni, 2020, nilitumiwa sms hizi...

MUHIMU
You registered more than 1 SIM card using your NIDA ID.
TCRA requires you to verify
the numbers you own,dial
*106# to check.
Mkuu umeedit hadi umepotea njia, Kama hiyo sms NDIVYO ilivyo Basi nusu ya watanzania wanaomiliki cm wangepata ujumbe huo.

Au Mkuu ni hao mayai ndio yanaleta shida omba tu utafsiriwe.
 
Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
FRANK so sawa na FRENK, EMMANUEL sio sawa na EMANUEL, HUSSEIN na HUSEIN, MOHAMMAD na MOHAMAD, JAQLEEN au JACKLIN ni muhimu sana kuzingatia uandishi wa majina hasa unapoenda kuchukua kitambulisho, leseni au passport
 
Mkuu umeedit hadi umepotea njia, Kama hiyo sms NDIVYO ilivyo Basi nusu ya watanzania wanaomiliki cm wangepata ujumbe huo.

Au Mkuu ni hao mayai ndio yanaleta shida omba tu utafsiriwe
Nina-screenshort... halafu bisha na hii
Screenshot_20200630-121716_Messages.jpg
 
Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalambwa faini milioni 5 au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja.

Kuanzia tarehe 1 July 2020.

IMG_20200630_115350.jpg
 
Na wewe unaamini hivyo NDIVYO inapaswa kuwa? Huwezi kutumia akili zako unaenda Kama roboti.
Asante.

Ila umehamisha magoli toka kwenye ku-edit hadi robot, hongera.

Ila usichokielewa ni kuwa kuwa na line zaidi ya moja za mitandao tofauti siyo tatizo. Unapokuwa na line zaidi ya moja za mtandao mmoja ndo tatizo kwao.

UBISHI WAKO UNASABABISHWA NA UELEWA WAKO
 
Back
Top Bottom