Yaani TCRA Wamejaa Ma UTOPOLO tu sasa kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja ni kosa? Hawajui kwamba kuna router ,modem zinatumia line? Kama napenda mtandao fulani kwa ajili ya kutumia both voice na net na natumia modem/wifi router nikatafute line ya mtandao mwingine?
Kampuni za simu wanasema mwisho laini nne na wewe unasema mwisho laini moja huku CCM wanataka pesa za kodi laini zitanunuliwa na nani?Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
South Africa anayesajili laini ni Mgeni tu mwenyeji hana limiti ya kuwa laini hata akitaka line 100 wao wanaangalia mapato tu Serikali ikusanye kodiKabisa Mkuu sheria za KIPUUZI SANA ambazo zinapunguza mapato ya hayo makampuni na pia kodi ya mapato. Nchi nyingi duniani hazina sheria za KIJINGA kama hizi.
Wanajikosesha pesa mapato ya kununua line wanayakosaKuna wengine tulipo pata kazi tu, kuna line ya offisi na ingine ya personal, hiyo ya offisi ni voda na huwa inajazwa vocha kila mwezi, na voda ambyao naitumia kama personal, sidhani kama watalitilia mkazo TCRA wataharibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya CCM imejaa washauri wasiojua umuhimu wa pato la Taifa wanakosa pesa nyingi kwenye ununuzi wa line, kwani line nyingi huongeza mapato na pia wenye photocopy hupata pesa wenye viwanda vya karatasi huuza zaidi na Serikali kujipatia kodiHata kama ni njia ya ku boost wateja "NYUMBANI KUMENOGA" sio kwa njia hii walahi.
Kabisa washauri wazuri hawahitajiki serikalini maana utaambiwa kwamba umetumwa na mabeberu,wao kila kitu wanachukulia kisiasa tu,sioni tatizo la mtu kumiliki line zaidi ya moja kwenye mtandao mmoja wakati amesajili kihalali kabisa kwa NIDA ID.Serikali ya CCM imejaa washauri wasiojua umuhimu wa pato la Taifa wanakosa pesa nyingi kwenye ununuzi wa line, kwani line nyingi huongeza mapato na pia wenye photocopy hupata pesa wenye viwanda vya karatasi huuza zaidi na Serikali kujipatia kodi
Sawa...
Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Tatizo tu mitanzania ni mitahaira Fulani hivi.kwanini tusiamue wote kuwa na laini moja ya mtandao mmoja tu tutakaouchagua ili mitandao mingine ife ili hao tcra wapate furaha zaidi.Wanafanya mambo ya ajabu sana!
Iengo la kusajili line lilikuwa ni pamoja na kumtambua mmiliki wa line husika.
Sasa ntu akiwa na line zaidi ya moja wao inawakera nn!?
Kwann wasisubirie mpaka ntu atende kosa kupitia line hizo halafu wamkamate!?
Na usikute mpaka sasa hawana hata uhakika wa kumkamata mtu hata kama amesajili line, ndo mana bado wanahangaika,
kigogo wa twita amesajili line au hatumii simu?
Silipi kwani lazima nilipekama nisingeona huu uzi ningekuwa nang'aa amcho tu..halafu mwishowe naletewa fine milioni 20...nakufa kwa pressure...nazikwa na manispaa bureeeeeeee
Achaa bwanaa...Ila we jamaa una ubishi wa ajabu sana.
[emoji1787][emoji28][emoji38][emoji16] nami nafuata nyayo zako.Mimi nataka nijaribu sumu kwa kuionja. Nina laini zaidi ya moja kwa tigo na airtel na nimeshindwa kuiacha moja bila shuruti.
Mkiona sionekani jukwaani mjue tayari.