Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji38][emoji38][emoji38]Ha ha ha.. hapo faini ya m5 kwa Kila line ya ziada, andaa Tsh m25 kujihakikishia usalama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Ha ha ha.. hapo faini ya m5 kwa Kila line ya ziada, andaa Tsh m25 kujihakikishia usalama
Kuna shida gani endapo unamiliki nyingi? Yaani kinyume chake?Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Kuna shida gani endapo unamiliki nyingi? Yaani kinyume chake?
Kwani kazi zake si zinajulikana- mawasiliano. Kama zitatumika kwenye uhalifu, si mmiliki anafahamika. Kwa hiyo na baadae mmtataka watu wasimiliki magari zaidi ya moja ya 'make' moja.Unanifanyia nini zote hizo?
Huna akiliTatizo tu mitanzania ni mitahaira Fulani hivi.kwanini tusiamue wote kuwa na laini moja ya mtandao mmoja tu tutakaouchagua ili mitandao mingine ife ili hao tcra wapate furaha zaidi.
Kwa nini unakubali kutembea katika ujinga wao?.ndiyo maana wanatuburuza wakijua hatuna la kufanya.Huna akili
ushamba mtupu akili za CCMWakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Ok Sorry basi Mkuu SIAJKUTAJA KABILA (ww umetumia Bwashee)Bwashee kabila langu linaingiaje hapo!
Ulisema line zako zilikuwa na ‘mikopo’ na ukaenda ofisini ili kuzifufua, ulichokwama ni majina matano tu ila lengo lako ilikuwa kuzifufua!
bora wewe hukuathirika kwa faida mm nilikuwa na line 2 na zina mikopo mikubwa tu zikapotea nikawafuata ili nifufue, wakaniuliza majina ma5 du nikakosea wamenitisha kuwa hawawezi kuzifufua kabisa nilitoka nimeinama na SIZIFUFUI.
Mimi Nina laini zifuatazo,
Voda 4 hapa ninatumia 3 moja anatumia mama angu
2 tigo zipo 5 zote natumia mimi mwebyewe
3. Airtrl moja ambayo natunia pia
4. Halotel 1 kwa sasa siitumii
N.b laini anayotumia mama ni yangu Na sidhani kama ni haki kunizuia kuwasiliana Na mzazi kisa namba ya simu yangu kuiweka kwenye simu yake nchi hii INA mengi ya kufanya Na so huu upuuzi wanaotuletea.
Ndio kupunguza gharama za kupiga. Waweza kuwa nazo laini hata nne za mtandao mmoja kupunguza gharama za kuwasiliana ya kwanza ya ofisi ya pili ya nyumbani ya tatu yako mwenyewe ya nne ya mwanao ambaye hajafikia umri wa kuwa na kitambulisho cha taifa ili asajiliwe anayesoma tuition mbali.
Kama ni kweli hujui ulazima iko hivi,Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
Dah... Itakuwa Mashujaa Udugu Matata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulitumia jina gani
Kama ni kweli hujui ulazima iko hivi,
Mimi nina SIM moja ya vodacom ninayoitumia mwenyewe, nina SIM nyingine ya vodacom kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, hii inakua nyumbani ili niweze kuwasiliana na watoto ninapokua kazini
SIM nyingine ya tatu naitumia kwenye chumba cha utotoleshaji wa vifaranga (Hatch room) ili kupata taarifa umeme unapokatika
Wapo watu wana shughuli nyingi zaidi na hivyo inawalazimu kuwa na hata SIM 10