Kurmodosla
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 330
- 202
Kosa liko wapi kumiliki laini ya simu zaidi ya moja kama linatumika vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanifanyia nini zote hizo?
Akiwasilisha bungeni jijini hapa jana, taarifa ya Kamati ya Sheria Ndogo kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa katika mikutano ya 18 na 19 ya Bunge, Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, William Ngeleja, alisema miongoni mwa dosari hizo ni sheria ndogo kwenda kinyume cha sheria mama na sheria nyingine za nchi.
Alisema dosari ya nne ni sheria ndogo kutoendana na uhalisia wa mambo ukiwamo urahisi katika utekelezwji wake, hali ya uchumi wa walengwa na viwango vya adhabu na faini.
Serikali haina shida na hao, Ina shida na wakosoaji mitandaoni..wanataka wajue kila kitu chako kwa maslahi yao kulinda mamlaka zao.hii ndio nchi inayoongoza kuwa na wasomi wajinga wasio na msaada kwenye taifa lao.. apo uwenda wakawa wameahindwa kuwatambua wale watu ILE PESA TUMA UMU... system zenu bado local mkajifunze ng'ambo mtutolee kero zenu apa.. siai kitambulisho kimoja tumesajili familia nzima kikubwa mawasiliano
Kwan kuna ulazima gani wa kumiliki line moja?Kwani kuna ulazima gani wa kumiliki laini nyingi za mtandao mmoja?
Hapo nawapongeza TCRA.
mbona yameshapita hayo? sasa tupo AgostiKwan kuna ulazima gani wa kumiliki line moja?
mbona yameshapita hayo? sasa tupo Agosti
unachotakiwa hata sasa hivi ni kukubali laini hata km ni tatu ni zako
fika ofisi za mtandao husika waambie Line
- ni yako kiofisi tu
- ni yako umemuachia house girl kupokea na kujua hali za nyumbani
- ni ya Bibi kijijini kumjulia hali na wagonjwa
- ni ya kutolea pesa na kulipa malipo ya serikali km Maji, ving'amuzi
- nk
- nk nk
sasa hivi bado wanasisitiza sana kazisajili. kila tangazo lao wanakwambia piga *106# namba iliyosajiliwa NIDA fuatilia mtiririko wake ukishajaza hiyo namba, mwisho ni July 31 2021Sasa walivyokuwa wasema ni kosa je