Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea mshahara.

Hawa vijana wa sikuhizi anakukaribissha bar na ukifika anakuambia mimi hali yangu si nzuri. Sasa kama hali yako si nzuri kuna aliyekulazimisha kuja hapa na kwanini uniite hapa kama hali yako ni ngumu!
 
Mwaliko kizungu ni ushiriki wako tu na sio kulipiwa bill. Bongo umnyweshe umlishe na bado atarajie pesa cash. Wee nabutua kesho nina elfu10 tumetumia laki jana yake, namjibu pesa tumeitafuna wote jana tusubiri tuvune kikoba.
 
Unakaribishwa bar wakati mwenyewe hela uliyo nayo na hela ya kodi. Pale bar unazungusha round akili inakutuma sionani nao kila siku leo ni siku ya furaha.

Ukirudi nyumbani mwezi mzima unamkwepa land Lord.
 
Mi natoka out kula vibe pana baada ya mnyanduano hadithi za hekaya hapana. Wafakamiaji nawapa poda kwa kucha sip with limit take care of Ma pocket for sustainability.
 
Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea mshahara.

Hawa vijana wa sikuhizi anakukaribissha bar na ukifika anakuambia mimi hali yangu si nzuri. Sasa kama hali yako si nzuri kuna aliyekulazimisha kuja hapa na kwanini uniite hapa kama hali yako ni ngumu!
Nini maana ya kumfharamia?
 
Hizi mambo ni huko ulaya, huku bongo mtu anakuambia nataka tutoke lakini hajui mfuko wako ukoje na anategemea uwe responsible kwake kuanzia usafiri hadi vinywaji.

Ukinialika, ukinimiss, ukihitaji wewe tuonane..means you're ready for the outing, you're ready to take care of the whole event.

Kuna dadaz wako vizuri, japo mimi hata ukinialika I feel obliged to take care of things, ila kanuni ni ukinialika ufanye kila kitu, siku nikikualika I'll do the same..mambo ya magharibi hayo.
 
Vijana wa mama hao 😅 Chawa Maniacs
 
Hahahahahah mtu anakwambia mtoke out wakati yeye alichonacho ni sehemu yake ya siri tu😅!!!

Ujinga sana huu, uki propose outing lazma u take care of the bills...
 
Mwaliko kizungu ni ushiriki wako tu na sio kulipiwa bill. Bongo umnyweshe umlishe na bado atarajie pesa cash. Wee nabutua kesho nina elfu10 tumetumia laki jana yake, namjibu pesa tumeitafuna wote jana tusubiri tuvune kikoba.
Hahahaha na hapo anadai haki yake kama mwanamke kupewa hela🤣🤣🤣
 
Uzi ulioandikwa mwandishi akiwa usingizini... errors of sleeping
 
Hahahahahah mtu anakwambia mtoke out wakati yeye alichonacho ni sehemu yake ya siri tu😅!!!

Ujinga sana huu, uki propose outing lazma u take care of the bills...
Yeah, akiomba outing ajue bills ni juu yake.

Japo wapo wadada smart sana, watu wakililia 50-50 wajue kuna gharama zake.
 
Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea mshahara.

Hawa vijana wa sikuhizi anakukaribissha bar na ukifika anakuambia mimi hali yangu si nzuri. Sasa kama hali yako si nzuri kuna aliyekulazimisha kuja hapa na kwanini uniite hapa kama hali yako ni ngumu!
Imenitokea jana hii, nimeitwa sehemu na jamaa kwa mbwembwe, nilivyofika akanipa bia moja tu, baada ya hapo nikaona kimya, stori kibao, nikajikuta mimi ndio sponsor mkuu.
 
Kumbe fharamia NI neno fasaha me nilijua tunatumiaga watoto wa chekechea pekee
Bora ata we umelijua toka mtoto. Mi ndo naliona leo!! hadi ikabidi kusoma alichoandika ili nipate contextual meaning yake!

Kweli kuishi kuona mengi, ingekuwa gharamia nisingebabaika
 
Back
Top Bottom