Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu sky ulivyo smart, leo imekuwaje kupost bila ya ku re edit, au umehakiwa mwanawane?Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea mshahara.
Hawa vijana wa sikuhizi anakukaribissha bar na ukifika anakuambia mimi hali yangu si nzuri. Sasa kama hali yako si nzuri kuna aliyekulazimisha kuja hapa na kwanini uniite hapa kama hali yako ni ngumu!