Ukimkiri Mungu na kumtumaini kamwe hawezi kukuangusha

Ukimkiri Mungu na kumtumaini kamwe hawezi kukuangusha

Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja ya chanjo na barakoa!! Leo hii watanzania tuko salama wakati dunia imepita kwenye hali ngumu sana!! Watanzania tumwamini na kumkiri Mungu naye atanyosha mapito yetu!
Dr Fauci kawaambia wamarekani wajiaandae kuishi na covid kama wanavyoishi na mafua miaka yote.

No more lockdowns.
 
Kumtanka Mungu mbele ya hadhara sio kumkiri Mungu. Acheni upotoshaji wa kijinga.
Umeisikiliza hiyo clip ya Ruto kwenye post #1? Naona una hasira zako hadi huwezi kuzuia matusi!!
 
Chezea watu lakini usicheze na mtu anayemwamini Mungu!! Fuatilia ushindi wa jasusi la mbinguni!!
 
Ulikuwa umeanza vizuri sana,umekosea ulipomuingiza Magufuli kwenye ukiri wa Mungu, huwezi ukamuungiza mtu kama Magufuli kwenye ukiri wa Mungu wakati katika ukiri wake alikuwa ana waona binadamu wenzeka kama mashetani wanaopaswa kuuawa kwa risasi, kutekwa na kupotezwa kusikojulikana kwa wale walionusurika kifo akiwanyima haki yao ya kutibiwa kwa gharama za serekali.
 
Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja ya chanjo na barakoa!! Leo hii watanzania tuko salama wakati dunia imepita kwenye hali ngumu sana!! Watanzania tumwamini na kumkiri Mungu naye atanyosha mapito yetu!
Alieyekunyima akili alikuweza! watanzania wengi sana waliteketea kwa corona kwa ujinga wa mtu mmoja!
Anyway, corona ilifanya vitu vyake!
 
Sawa kabisa Yesu ni Mungu na Yesu ni BWANA! Kwa hapo tuko pamoja!!
YESU siyo MUNGU ni mwana wa Mungu acheni kuvutia bange chooni,nenda kasome Marko1:11.
Mungu hawezi kuingia kwenye tumbo la mwanamke (mwanadamu) ili azaliwe kupitia kwenye uke.
Mungu si mchezo wewe.
Yaani akitua Duniani tu,Dunia yote inapasukapasuka vipande na kubakia Tupu.
 
Kwani mwana wa binadamu sio binadamu?
Au ndama sio ng'ombe?
 
Alieyekunyima akili alikuweza! watanzania wengi sana waliteketea kwa corona kwa ujinga wa mtu mmoja!
Anyway, corona ilifanya vitu vyake!
Kwa bahati mbaya sana una macho lakini hauoni, una masikio lakini hausikii!!! Hivi unaweza kulinganisha madhara kiduchu ya covid 19 kwenye nchi yetu na nchi gani nyingine hapa duniani? Mungu alituokoa ukiwemo wewe kwa maombi aliyoagiza rais wetu na tukamshukuru Mungu!! Kuukataa ukweli huu ni kujitakia laana na Mungu anakuona!!
 
  • Thanks
Reactions: RMC
1662749874238.png

Hapo ni baada ya kupigwa na kitu kizito toka Supreme court ya Kenya!! Mzee hata tabasamu la kinafiki limegoma! alipotaka kulazimisha tabasamu likatokea kama analia vile!!
 
Uhuru anajisikia fedheha sana baada ya kutumia nguvu zake zote kumponda Ruto na kumpigia debe Raila lakini baada ya matokeo na baada ya maamuzi ya mahakama ya upeo, ndo anatambua nguvu za yule aliyekuwa anampiga vita kuwa iko juu mno!
 
Mwanasiasa kama mtu anaweza kumwamini Mungu pia, hilo limedhihirishwa hadharani na Magufuli na Ruto! Imani inahusiana na watu wote wakiwemo wana siasa!!
Raila hakuwa anamuamini Mungu? Kanisa Katoliki Tanzania lilitangaza kupoteza makumi ya watumishi (mapadre, Walei, Makatekista etc) wao walikuwa hawamuamini Mungu? Acha kuongea ushenzi wako kwa kutumia makalio
 
Kwa kauli yake hii, Raila alijiroga mwenyewe!! Asitafute mchawi, mchawi ni yeye mwenyewe.

Back
Top Bottom