Ukimkiri Mungu na kumtumaini kamwe hawezi kukuangusha

Ukimkiri Mungu na kumtumaini kamwe hawezi kukuangusha

Kwa bahati mbaya sana una macho lakini hauoni, una masikio lakini hausikii!!! Hivi unaweza kulinganisha madhara kiduchu ya covid 19 kwenye nchi yetu na nchi gani nyingine hapa duniani? Mungu alituokoa ukiwemo wewe kwa maombi aliyoagiza rais wetu na tukamshukuru Mungu!! Kuukataa ukweli huu ni kujitakia laana na Mungu anakuona!!
Chuki dhidi ya JPM ,zimewapofua hadi akili. Kwa wanasiasa wote duniani JPM atabakia shujaa kwa namna alivyokabiliana na Corona. Mataifa kibao wamemuiga. Vifo vya corona kwa Tanzania vilikuwa vichache hata kwa kulinganisha na majirani zetu. Licha ya kuwa JPM hayupo hao wanaomchukia wameshindwa kutoa hizo figures za vifo vya corona wanazodai kuwa ni kubwa wakati wake; kama ingekuwa walokufa walikuwa wengi wangeishatoa data ili kumchafua lakini hawana cha khmpakazia.
 
Back
Top Bottom