Dr Fauci kawaambia wamarekani wajiaandae kuishi na covid kama wanavyoishi na mafua miaka yote.Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja ya chanjo na barakoa!! Leo hii watanzania tuko salama wakati dunia imepita kwenye hali ngumu sana!! Watanzania tumwamini na kumkiri Mungu naye atanyosha mapito yetu!
Umeisikiliza hiyo clip ya Ruto kwenye post #1? Naona una hasira zako hadi huwezi kuzuia matusi!!Kumtanka Mungu mbele ya hadhara sio kumkiri Mungu. Acheni upotoshaji wa kijinga.
Alieyekunyima akili alikuweza! watanzania wengi sana waliteketea kwa corona kwa ujinga wa mtu mmoja!Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja ya chanjo na barakoa!! Leo hii watanzania tuko salama wakati dunia imepita kwenye hali ngumu sana!! Watanzania tumwamini na kumkiri Mungu naye atanyosha mapito yetu!
YESU siyo MUNGU ni mwana wa Mungu acheni kuvutia bange chooni,nenda kasome Marko1:11.Sawa kabisa Yesu ni Mungu na Yesu ni BWANA! Kwa hapo tuko pamoja!!
Kwani mwana wa binadamu sio binadamu?YESU siyo MUNGU ni mwana wa Mungu acheni kuvutia bange chooni,nenda kasome Marko1:11.
Mungu hawezi kuingia kwenye tumbo la mwanamke (mwanadamu) ili azaliwe kupitia kwenye uke.
Mungu si mchezo wewe.
Yaani akitua Duniani tu,Dunia yote inapasukapasuka vipande na kubakia Tupu.
Umeisikiliza hiyo clip ya Ruto kwenye post #1? Naona una hasira zako hadi huwezi kuzuia matusi!!
Kwa bahati mbaya sana una macho lakini hauoni, una masikio lakini hausikii!!! Hivi unaweza kulinganisha madhara kiduchu ya covid 19 kwenye nchi yetu na nchi gani nyingine hapa duniani? Mungu alituokoa ukiwemo wewe kwa maombi aliyoagiza rais wetu na tukamshukuru Mungu!! Kuukataa ukweli huu ni kujitakia laana na Mungu anakuona!!Alieyekunyima akili alikuweza! watanzania wengi sana waliteketea kwa corona kwa ujinga wa mtu mmoja!
Anyway, corona ilifanya vitu vyake!
Kiongozi Mkuu wa Malaika kule peponiHuyo Magufuli yuko wapi sasa
Taahira mmoja wee!!Alikokwenda Magufuli ni mbinguni ambako ni kuzuri sana kuliko duniani hata ukimpa fyrsa ya kurudi duniani hatakubali.
Raila hakuwa anamuamini Mungu? Kanisa Katoliki Tanzania lilitangaza kupoteza makumi ya watumishi (mapadre, Walei, Makatekista etc) wao walikuwa hawamuamini Mungu? Acha kuongea ushenzi wako kwa kutumia makalioMwanasiasa kama mtu anaweza kumwamini Mungu pia, hilo limedhihirishwa hadharani na Magufuli na Ruto! Imani inahusiana na watu wote wakiwemo wana siasa!!
Kama binadamu lazima tulie. Hata Yesu kama,mwanadamu alimlilia Lazaro na kama Mungu alimfufua Lazaro.Kama alikokwenda ni kuzuri mlikuwa mnalia nini sasa.
Yaani unamlilia mtu anayekwenda sehemu nzuriKama binadamu lazima tulie. Hata Yesu kama,mwanadamu alimlilia Lazaro na kama Mungu alimfufua Lazaro.
Umeelewa nilichoandika hapo juu.Yaani unamlilia mtu anayekwenda sehemu nzuri
Siwezi kuelewa kitu kusichoeleweka mkuu,hpm yuko motoni overUmeelewa nilichoandika hapo juu.