Ukimkiri Mungu na kumtumaini kamwe hawezi kukuangusha

Chuki dhidi ya JPM ,zimewapofua hadi akili. Kwa wanasiasa wote duniani JPM atabakia shujaa kwa namna alivyokabiliana na Corona. Mataifa kibao wamemuiga. Vifo vya corona kwa Tanzania vilikuwa vichache hata kwa kulinganisha na majirani zetu. Licha ya kuwa JPM hayupo hao wanaomchukia wameshindwa kutoa hizo figures za vifo vya corona wanazodai kuwa ni kubwa wakati wake; kama ingekuwa walokufa walikuwa wengi wangeishatoa data ili kumchafua lakini hawana cha khmpakazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…