Ukimkuta mwanamke ana roho mbaya, ni anayo mbaya kwelikweli

Ukimkuta mwanamke ana roho mbaya, ni anayo mbaya kwelikweli

Roho mbaya haina jinsi,hata wa kiume akiwa roho mbaya ni hivyo hivyo!!
 
Roho mbaya haina Jinsia, ni tabia binafsi ya mtu.
Kwanini wanawake wanaonekana kirahisi, ni kwa sababu wanaweka wazi hawajui kuficha, km ilivyo kwa wanaume.

Ubaya wa huyo mama usijumuishe wanawake wote, hapanaa, hiyo ni tabia yake yeye binafsi.

Tena mie naona bora wanawake, at least wana ile huruma ya asili km uzazi, hata awe hajawahi kuzaa, usiombe kukutana na mwanaume wenye roho mbaya afu awe na ukaksi ndani yake, utatafuta Pa kujificha.

Kuna watu wana roho mbaya km wanaume? Wabinafsi, wanafiki, wakuda, etc.
Ni vile hawaoneshi wazi wazi km wanawake.

Kuna scenario 1, itoshe kusema, Wanaume ni MAKATILI tena haswaaa.
 
Muombe Mungu sana katika vitu vya kuhitaji msaada usikutane na mwanamke katili
Maana wanakuaga makatili kwelikweli
Mwanamke anaweza akakufanyia jambo la ajabu mpaka wewe mwenyewe ukawa unashangaa ground ya jambo hilo
Haswa akiwa na gari anaweza hata kukugonga
Fanya research fupi
Kama ukiwa barabarani kama unaomba kuingia line ingine awe mwanamke
Hakuruhusu
Akiwa boss wako nayo ni maumivu ni wachache sana wana moyo mzuri
Sisi wanawake ni mawili
Ni umkute mkarimu au ana roho mbaya
Na asilimia kubwa akiwa ana vijisent ni hatari
Kama mke wako ameenda clinik ya ma specialist muulize doc wake alikua nani asiposataja awa kina sijui colman sijui nani.....
Watu wanawakimbia wanawake kwa sababu the moment ambayo unakua vulnerable kuliko uwe karibu na mtu mkarimu
Kadri navyokua najifunza ukarimu kwa kweli kwa sabbu nimekuja kugundua dunia imejaa watu wabinafsi sana
Eeewe kaka wa kiume Mungu akusaidie usiwe kwenye situation ya kutegemea mwanamke kama sio mama yako....
Mungu abariki mikono yako...ukapate maana ni labda ubahatishe kwa kweli

Yaani leo nilikua na siku mbaya sana,ila jion kabisa alichonifanyia huyu mama kama sio hekima ya kiMungu leo uwenda ingekua siku mbaya kuliko ilivyokua

Kila mtu akiwa mkarimu,dunia itakua sehem salama sana ya kuishi
Mimi pia najifunza kuwa mkarimu
Pole mkuu!! Mimi pia yamenikuta week hii! Kahaba alikuwa analala chini,nimemnunulia kitanda na godoro,malipo yake sasa walahi!!

Kwa hakika wanawake ni mashetani 80%
 
Back
Top Bottom