Ukimkuta mwanamke ana roho mbaya, ni anayo mbaya kwelikweli

Roho mbaya haina jinsi,hata wa kiume akiwa roho mbaya ni hivyo hivyo!!
 
Roho mbaya haina Jinsia, ni tabia binafsi ya mtu.
Kwanini wanawake wanaonekana kirahisi, ni kwa sababu wanaweka wazi hawajui kuficha, km ilivyo kwa wanaume.

Ubaya wa huyo mama usijumuishe wanawake wote, hapanaa, hiyo ni tabia yake yeye binafsi.

Tena mie naona bora wanawake, at least wana ile huruma ya asili km uzazi, hata awe hajawahi kuzaa, usiombe kukutana na mwanaume wenye roho mbaya afu awe na ukaksi ndani yake, utatafuta Pa kujificha.

Kuna watu wana roho mbaya km wanaume? Wabinafsi, wanafiki, wakuda, etc.
Ni vile hawaoneshi wazi wazi km wanawake.

Kuna scenario 1, itoshe kusema, Wanaume ni MAKATILI tena haswaaa.
 
Pole mkuu!! Mimi pia yamenikuta week hii! Kahaba alikuwa analala chini,nimemnunulia kitanda na godoro,malipo yake sasa walahi!!

Kwa hakika wanawake ni mashetani 80%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…