Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Ili uwe na urafiki na mwanamke wa kileo ni lazma uwe na pesa na usiwe bahili kwake. Yani ajue una pesa na awe na access ya kuzitumia hapo urafiki utapamba moto hata kama humvutii ila atakuwa na respect kwako.
 
Waziii
 
Sababu ipi inakufanya iwe ngumu kumuacha? au kwasababu ya utamu?
Yah n kweli n mtamu.

Pia n kwamba mm sina yale mambo ya kuwa na wanawake wengi, hapa nna miaka 28 lkn nimekuwa na mahusiano na wanawake kama nane hv na kati ya hao n watano tu ndo nmesex nao, yn mm naonaga uvivu sana kumpenda mwanamke So nikiwa na mtu afu akinizngua hua naumia sana mana sina mbadala.

Pia nimewekeza sana kwa huyu wa sasa, so Naona kama kuachana nae tena n kama kupoteza yote zaidi.

Pia mara nyingi yeye ndo hua anajirud na kutaka tuwe sawa, kuna wakati nliwah kumpotezea ila akajirudi na mambo yakaenda.

Anyway, mambo anayonifanyia yanazidi kutengeneza red light Kwenye moyo wangu so soon atakuwa chombo cha starehe tuu.
 
Mkuu,
Achana na huyo mwanamke acha ujinga. Umepoteza mda wako mwingi, pesa zako nyingi kwa mtu asiyestahili.

Hivi huwa mnawaza nini mkiingia kwa mahusiano?
Yaani vijana sijui wana tatizo gani hapa kwenye kuchagua mwanamke wa kufanya nae maisha. Usishangae ukakuta jamaa yetu katika uchaguzi wake aliangalia kigezo cha tako la uyo mwanamke

Utetezi wao ni kwamba uyo ambae unafikiri yupo perfect anaweza kuja kubadilika.

Huu ni utetezi wa kijinga sana. Fumbo la mustakabali wa mahusiano sio justification ya kufanya gamble ya kuchagua mwanamke wenye reg flags
 
Usiniangushe dogo, hawa wanawake huhitaji nguvu sana kuishi nao, usiwe nice guy kupitiliza maana anachukua kama udhaifu wako kukuchapa fimbo za kipesa hadi ufilisike.

Kipindi ukiwa jobless hukutakiwa kumpa pesa, hapo ungejua yupo lwa ajili yako au kimaslahi, na ingekuwa rahisi wewe kuachana nae hasa kwa vile una stress za kazi. Ungeendelea kuwekeza kwenye kutafuta kipato.

Nakushauri umuache, hata kama huwezi ghafla, muache taratibu hadi utamsahau. Kwenye issue ya pesa acha kuendekeza mwanamke.
 
Nasikitika kuona mwanaume mwenzangu anakonda na kuumia kwa ajili ya mwanamke, tena mwanamke alishakuwa na maisha yake huko, kazalishwa huko then anakuja kumsumbua..how?

Najua swala la kutafuta mke ni complex kidogo, wadada wa sasa hawaeleweki, lakini kuna vitu ukiviona kwa mwanamke hutakiwi kufikiri twice, hata kama ni mzuri kama malaika.
 
Nimekuelewa bro
 
Ni vizuri umwache uwe na amani ya moyo kuliko kuishi sehemu ambapo hustahili kuwepo ni kupoteza muda tu alafu wanawake wasio na watoto ni wengi kwanini umeganda kwa single mother, ukishakuwa na single mother tu jua kuwa huyo si mwanamke wako
 
Mapenzi ya kweli hayaangalii material things
 
Mkuu,
Achana na huyo mwanamke acha ujinga. Umepoteza mda wako mwingi, pesa zako nyingi kwa mtu asiyestahili.

Hivi huwa mnawaza nini mkiingia kwa mahusiano?
Na jamaa yetu badp yuko nae.
Kiufupi huwa kjna ugumu fulani na uchungu wa pesa na mambo ulispend sana kwake. ila akiamua kikweli inawekana kabisa na atasahau yote.
 
Home boy ujue vijana wengi sana wanatumbukia kwenye trap za hawa wanawake..kirahisi sana.
Yaani ni kama wanawake washazisoma mind za wanaume wote na kuwamaliza kupitia hawa simps..
Ndio maana akikutana na mtu ambae ni bad boy anashangaa kila kitu kwake ni suprize tu..
Kwanza mwanaume unaanzaje kupoteza mechi kitandani mpaka unampa point tatu mwanamke?
Wewe ndio unatakiwa ushinde most of the times yeye ashinde pale tu ambapo upo out of mood..
Sasa mkuu Mbaga Jr kapoteza mapema kwenye angle ambayo ndio silaha ya bad boys wote..jambo ambalo ni kosa
Yaani manzi ashajua kabisa kuwa wewe ndio unamfaidi kitandan halafu yeye anafaidi less than you.
Na mbaya zaidi yuko only 28. Too young to throw in the towel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…