Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Wewe hujawaelewa tu. Unatakiwa wewe na mkeo muwe marafiki wa karibu sana, then utaona nilichoandika kina'make' sense. Wanaume wengi wanaishi kijanja Jana na wake zao. Wanandoa wa aina hii hawana wapi wapo tu - mchepuko (mume au mke) nje nje. Hawa wameshakata tamaa, hata uwashaurije wanaona unawadanganya/hawaamini kama unachowashauri haiwezekani.
Ili uwe na urafiki na mwanamke wa kileo ni lazma uwe na pesa na usiwe bahili kwake. Yani ajue una pesa na awe na access ya kuzitumia hapo urafiki utapamba moto hata kama humvutii ila atakuwa na respect kwako.
 
Halafu ubaya ni pale simps wanapodhani kuwa tunaoleta hizi agenda na kuwasanua hatuna mahusiano,, kiasi wanahisi labda kauli zetu ni maneno ya mkosaji..
Au wanadhani kisa wanadate na pisi kali zinazowapelekesha basi wanadhani sisi hatuna pisi kali..
But sisi tuko real katika jumbe tunazoziwasilisha hapa..
Haijalishi unadate na pisi ambayo rangi yake imeiva haswaa na macho yaliyolegea kama inazama.
Na mzigo wa haja kwa nyuma kiasi ukikaa kwenye khanga unabubujikwa na furaha tele ukiuona.
Unatakiwa utambue kuwa muda wa wewe kumfaidi ni huo aliopo mbele yako maana mawazo yake yanabadilika muda wowote bila sababu yoyote ile ambayo wewe utaiona inafaa yeye kuondoka kwako.
So enjoy it while it lasts dont try to your best just to posses her use
Maana mitongozo anayopokea kwenye simu yake mingine ni ya watu ambao wamekupita mbali kwa vingi na wengine umewapita pia lakini watamuotea one time at a time..
Waziii
 
Sababu ipi inakufanya iwe ngumu kumuacha? au kwasababu ya utamu?
Yah n kweli n mtamu.

Pia n kwamba mm sina yale mambo ya kuwa na wanawake wengi, hapa nna miaka 28 lkn nimekuwa na mahusiano na wanawake kama nane hv na kati ya hao n watano tu ndo nmesex nao, yn mm naonaga uvivu sana kumpenda mwanamke So nikiwa na mtu afu akinizngua hua naumia sana mana sina mbadala.

Pia nimewekeza sana kwa huyu wa sasa, so Naona kama kuachana nae tena n kama kupoteza yote zaidi.

Pia mara nyingi yeye ndo hua anajirud na kutaka tuwe sawa, kuna wakati nliwah kumpotezea ila akajirudi na mambo yakaenda.

Anyway, mambo anayonifanyia yanazidi kutengeneza red light Kwenye moyo wangu so soon atakuwa chombo cha starehe tuu.
 
Mkuu,
Achana na huyo mwanamke acha ujinga. Umepoteza mda wako mwingi, pesa zako nyingi kwa mtu asiyestahili.

Hivi huwa mnawaza nini mkiingia kwa mahusiano?
Yaani vijana sijui wana tatizo gani hapa kwenye kuchagua mwanamke wa kufanya nae maisha. Usishangae ukakuta jamaa yetu katika uchaguzi wake aliangalia kigezo cha tako la uyo mwanamke

Utetezi wao ni kwamba uyo ambae unafikiri yupo perfect anaweza kuja kubadilika.

Huu ni utetezi wa kijinga sana. Fumbo la mustakabali wa mahusiano sio justification ya kufanya gamble ya kuchagua mwanamke wenye reg flags
 
Dah Mpare mwenzangu, yn najuta knoma yn kila nikimuwaza roho yangu inauma sana mana niliwekeza mno kwa huyo single mother Ila bado nikalipwa tofauti.

Najitahidi kumpotezea ila siku akijirud najikuta namsamehe, maybe kwa sababu Mm sina orodha ndefu ya wanawake So tofauti na yeye sina mwanamke mwngn na sipendi kuwa na mahusiano na wanawake wengi. Ila tayari ana rangi ya njano akilini mwangu So soon tuu itageuka kwenye red, ngoja tuu niwekeze akili yangu kwenye shughuli zangu.
Usiniangushe dogo, hawa wanawake huhitaji nguvu sana kuishi nao, usiwe nice guy kupitiliza maana anachukua kama udhaifu wako kukuchapa fimbo za kipesa hadi ufilisike.

Kipindi ukiwa jobless hukutakiwa kumpa pesa, hapo ungejua yupo lwa ajili yako au kimaslahi, na ingekuwa rahisi wewe kuachana nae hasa kwa vile una stress za kazi. Ungeendelea kuwekeza kwenye kutafuta kipato.

Nakushauri umuache, hata kama huwezi ghafla, muache taratibu hadi utamsahau. Kwenye issue ya pesa acha kuendekeza mwanamke.
 
Yaani vijana sijui wana tatizo gani hapa kwenye kuchagua mwanamke wa kufanya nae maisha. Usishangae ukakuta jamaa yetu katika uchaguzi wake aliangalia kigezo cha tako la uyo mwanamke

Utetezi wao ni kwamba uyo ambae unafikiri yupo perfect anaweza kuja kubadilika.

Huu ni utetezi wa kijinga sana. Fumbo la mustakabali wa mahusiano sio justification ya kufanya gamble ya kuchagua mwanamke wenye reg flags
Nasikitika kuona mwanaume mwenzangu anakonda na kuumia kwa ajili ya mwanamke, tena mwanamke alishakuwa na maisha yake huko, kazalishwa huko then anakuja kumsumbua..how?

Najua swala la kutafuta mke ni complex kidogo, wadada wa sasa hawaeleweki, lakini kuna vitu ukiviona kwa mwanamke hutakiwi kufikiri twice, hata kama ni mzuri kama malaika.
 
Nimekuelewa bro
 
Yah n kweli n mtamu.

Pia n kwamba mm sina yale mambo ya kuwa na wanawake wengi, hapa nna miaka 28 lkn nimekuwa na mahusiano na wanawake kama nane hv na kati ya hao n watano tu ndo nmesex nao, yn mm naonaga uvivu sana kumpenda mwanamke So nikiwa na mtu afu akinizngua hua naumia sana mana sina mbadala.

Pia nimewekeza sana kwa huyu wa sasa, so Naona kama kuachana nae tena n kama kupoteza yote zaidi.

Pia mara nyingi yeye ndo hua anajirud na kutaka tuwe sawa, kuna wakati nliwah kumpotezea ila akajirudi na mambo yakaenda.

Anyway, mambo anayonifanyia yanazidi kutengeneza red light Kwenye moyo wangu so soon atakuwa chombo cha starehe tuu.
Ni vizuri umwache uwe na amani ya moyo kuliko kuishi sehemu ambapo hustahili kuwepo ni kupoteza muda tu alafu wanawake wasio na watoto ni wengi kwanini umeganda kwa single mother, ukishakuwa na single mother tu jua kuwa huyo si mwanamke wako
 
Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k

Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.

Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.

Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.

Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.

Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita gentemen) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.

Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way

Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.

Learn or perish.
Mapenzi ya kweli hayaangalii material things
 
Mkuu,
Achana na huyo mwanamke acha ujinga. Umepoteza mda wako mwingi, pesa zako nyingi kwa mtu asiyestahili.

Hivi huwa mnawaza nini mkiingia kwa mahusiano?
Na jamaa yetu badp yuko nae.
Kiufupi huwa kjna ugumu fulani na uchungu wa pesa na mambo ulispend sana kwake. ila akiamua kikweli inawekana kabisa na atasahau yote.
 
Yaani vijana sijui wana tatizo gani hapa kwenye kuchagua mwanamke wa kufanya nae maisha. Usishangae ukakuta jamaa yetu katika uchaguzi wake aliangalia kigezo cha tako la uyo mwanamke

Utetezi wao ni kwamba uyo ambae unafikiri yupo perfect anaweza kuja kubadilika.

Huu ni utetezi wa kijinga sana. Fumbo la mustakabali wa mahusiano sio justification ya kufanya gamble ya kuchagua mwanamke wenye reg flags
Home boy ujue vijana wengi sana wanatumbukia kwenye trap za hawa wanawake..kirahisi sana.
Yaani ni kama wanawake washazisoma mind za wanaume wote na kuwamaliza kupitia hawa simps..
Ndio maana akikutana na mtu ambae ni bad boy anashangaa kila kitu kwake ni suprize tu..
Kwanza mwanaume unaanzaje kupoteza mechi kitandani mpaka unampa point tatu mwanamke?
Wewe ndio unatakiwa ushinde most of the times yeye ashinde pale tu ambapo upo out of mood..
Sasa mkuu Mbaga Jr kapoteza mapema kwenye angle ambayo ndio silaha ya bad boys wote..jambo ambalo ni kosa
Yaani manzi ashajua kabisa kuwa wewe ndio unamfaidi kitandan halafu yeye anafaidi less than you.
Na mbaya zaidi yuko only 28. Too young to throw in the towel.
 
Back
Top Bottom