Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Dah! Nimecheka mno
 
Haujajibu nilichokuuliza. Kwanini mnadanga, Kwanini mnataka kuwa entitled kwenye mali za mwanaume, badala ya kutumia izo opportunities za vicoba?
Tunadanga sababu kuna madanga,hakuna mtu anayeingia kwenye uhusiano kama hafaidiki chichote na huo uhusiano, so kuna danga na mdangaji,they both benefit......ubaya ni pale uhusiano ukiisha unaona umeonewa wakati ulivyokuwa kwenye mahusiano uliona all is fair,unachotoa na unachopata ni haki yako. Unatuuliza why mbona nyinyi hamjihulizi kwa nini mnaamua kuwa madanga? Au madanga ni watu wa jinsia tofauti sio wanaume wenzenu? .......... . ...

....opportunities za vicoba ndio zinatumika au mwenzetu huoni wanawake wakijikomboa? Sema just like any other system adoption yake ina face challenges mbalimbali,ila huwezi ukaignore it's effect on reducing dependancy kwa wanaume...

Entitlements kwa mali za wanaume hio itakuŵepo hata upige kampeni vipi ndugu..hujiulizi kwa nini iko universal. Karibu duniani kote watu wakiachana sheria ni hizi hizo au wewe ndio uko smart sana kushinda waliotunga hizo sheria ambao wengine ni wanaume wenzio??? Tena kama mjanja bora umuwezeshe mkeo mchume wote ili hata mkigawana mgawane wote...kuliko ujifanye selfish then upukutishwe!!!
 
Ndugu yangu,ile kitu wao hawaithamini kabisa ndio maana si ajabu kuigawa ,ukiipata we hakikisha unaichakaza haswa
 
Inahitajika utulivu sana wa akili kuielewa hii post yako mkuu. Orelse watu wanaweza kuhisi uko bitter na wanawake but the truth to be told, tupo kwenye wakati mgumu sana kuliko kipindi chochote kile hususani kwa wanaume wengi ku maintain utawala nowdays world agendas have pushed men to hell.
 
Waafrika tulio wengi huwa hatuoni mbali, ni mpaka tuingie shimoni kabisa ndio tunakulupuka. Hizi sera za 50/50 na ferminism tayari zimeishavuluga ustawi wa jamii uko ulaya na marekani. Tunashindwa kuelewa kwamba hatuwezi kuwa na jamii ya kifeminia bila kuangamiza taasisi ya familia.
 
Umemjibu vizuri sana.

Mtoa mada yupo sahihi sana mwanamke mzidi vitu vingi na usijaribu kumuwezesha naongea kwa uzoefu kabisa iliwahi kunikuta na huyo mwanamke ni mimi ndo nilimbikiri lakin yalinishinda ilibidi nimuache tu.

Funzo: usimuamshe aliyelala
 
Confirmation bias, kwako wewe stories za mwanamke mmoja kushindwa kurejesha vicoba zinakugusa mtima unasahau vicoba inavyowasaidia wanawake na wengi wanavyopambana/committed ili michezo iwe kwa manufaa yao.

Kuhusu mali za wanaume nimekwambia , hakuna mwanamke anayetaka ndoa yake ife especially kama ameshazaa,ila wanaume ham respect ndoa, ku cheat kwenu ni jambo la kawaida na huwa hamfikirii kama familia itasambaratika huwa hamjali, sasa hizo sheria zimewekwa km security mwanamke doesn't have to lose, na zinafanya kazi familia nyingi zipo imara sababu ya hizo sheria,so vitu vingi vilikua considered.

Halafu acha chuki kwa wanawake, chuki yako imekufanya usione mambo, wanawake daily ni wapambanaji toka hapo nje uone wanaopika maandazi, vitumbua wanaouza genge ni wanawake evidence is there to see...

Nakwambiaje,had we had the same opportunities/privileges (elimu),as you men,leo ungejionea mwenyewe you men are nothing special!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…