Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

I say this from what we frequently share about our marriage and life in general. So, I have no reason to say what I don't know.
Simp at your finest mood,,
Guess what? Kwenye akili yako kuna
ka-portion kadogo kenye nguvu kanakuambia kuwa sisi hatujawahi kupenda wala hatujui kujali mamanzi wetu. So wewe ndie mwamba sana..
Una guarantee kubwa sana kichwani mwako mpaka unasema una imani juu ya kile mnashare kwenye conversations zenu..

Listen you stupid young man,, wakeup from that dream you are dreaming. It isnt worth your future..
Wale ana kauli yake anasema hivi " Long as your momma lie dont ever love women"

Sio mbongo huyo kama unadhani labda sisi tumedata na life.
Huyo ni American na ana access ya kudate Manzi yule unaemuota ndotoni na bado hujampata..
 
Btwn me and you nani ana-think cheap?
Yaani uko hapa kututumua mshipa wa shingo?
Sikiliza wewe kama unadhani duniani unashindana na mtu endelea mpaka pale utakaposikia kuwa malipo yake na kusifiwa tu yaan unajiwekea target za kushinda kwa kumuhudumia mwanamke? Are you that rich?
Simp will always be a simp and they have every sweet words to justify their maniac movements.
Kama kuna mtu amenielewa naomba anisaidie kumuelewesha huyu Muheshimiwa.
 
Dah we jamaa Hahahaha, na mpaka sasa bado huko nae, unauvumilivu wa Chuma sana mzee, ndio nimetoka huko ila sio kwa level hiyo aisee. Nilichojifunza hawa dada zetu ukipenda sana na kucare lazima udharauliwe, kufanyiwa mambo ya ajabu ajabu na mwisho anakuona ni kama vile huna pa kwenda. Ila hii level uliofkia wewe hatari sana. Cha kufanya move on kikwelikweli atakuja kujutia sana huyo demu
Inatokeaga nadate na manzi namuweka mazingira ya urafiki hadi anajikuta kanisimulia mahusiano yake baadhi ya nyuma.. Guess what wengi huwa wana mwamba ambae aliwapenda sana na kuwapatia kila walichorequest kwake na huwa wanaonekana kujutia hizo nafasi but huwa ni too late..
Sasa mimi huwa nauliza tena so na wewe ulimpenda?
Wanajibu yaani tulipendana sana hadi watu wakawa wanasema

But unaona muda huo anakuwa hayuko na mwamba bali yuko na mimi ambae sina hata mpango wa kumfanyia chochote zaidi ya kula vizuri na kumpa mashine then time goes on tunaachana..
So usifanye vingi sana kwa mwanamke wako ukadhani utammiliki mazima nop it doesnt work like dat.
 
Guess what? Kwenye akili yako kuna
ka-portion kadogo kenye nguvu kanakuambia kuwa sisi hatujawahi kupenda wala hatujui kujali mamanzi wetu. So wewe ndie mwamba sana..
Una guarantee kubwa sana kichwani mwako mpaka unasema una imani juu ya kile mnashare kwenye conversations zenu..
Tatizo kubwa la jamaa yetu lipo hapa.
 
Simp at your finest mood,,
Guess what? Kwenye akili yako kuna
ka-portion kadogo kenye nguvu kanakuambia kuwa sisi hatujawahi kupenda wala hatujui kujali mamanzi wetu. So wewe ndie mwamba sana..
Una guarantee kubwa sana kichwani mwako mpaka unasema una imani juu ya kile mnashare kwenye conversations zenu..

Listen you stupid young man,, wakeup from that dream you are dreaming. It isnt worth your future..
Wale ana kauli yake anasema hivi " Long as your momma lie dont ever love women"

Sio mbongo huyo kama unadhani labda sisi tumedata na life.
Huyo ni American na ana access ya kudate Manzi yule unaemuota ndotoni na bado hujampata..
Si kweli. Na wewe unafikiri sijawahi kuwa na fikira kama hizo hadi nilipoamua kubadilika mwenyewe? Life is how you decide to live it. You can decide to live hell and it is possible or the opposite of it and it is possible also. Haya mambo ya ndoa yanategemea wewe mwenyewe unavyotaka yawe. Unaweza ukaamua kuamini kwamba mwanamke ameumbwa kutawaliwa na mwanaume. Unaweza ukaamua kuamini kwamba mwanamke hana akili, na ni mwanaume tu ana akili. Unaweza ukaamua kuamini kwamba kama huna hela huwezi ukamwoa mwanamke na ukakaa naye kama mkeo. Unaweza ukaamua kuamini kwamba kama wewe umebahatika kuwa na hela kuliko mkeo, then yupo hapo tu kukuibia na zikiisha atakukimbia. Kuna post moja nilisema, kabla ya ndoa tulikaa uchumba mwaka 1, kila mmoja akijifunza tabia ya mwenzake, na pia binafsi nilieleza hali halisi ya kwetu kwamba hatuna kitu na kwamba mimi natoka familia maskini. Na mke wangu niliye naye alisema hata yeye hatoki familia yenye uwezo, hivyo haoni kama hilo ni tatizo kwake. Mambo mengi tumejifunza pamoja ya kuondoa, ya kuboresha na ya kuendeleza - ni sisi wote wawili - kila mmoja ana strengths na weaknesses zake na tumeamua to capitalise on our strengths and at the same time work on the weaknesses na tunaendelea kuvumiliana. Hatujafaulu sana kushinda weaknesses zetu, lakini tumeamua kuridhika kwamba hakuna mtu aliye perfect na ambaye anafanya kila jambo vizuri kwa asilimia 100. Kwa mantiki, hii haina maana kwamba mimi ndiye ninayewajua wanawake walivyo au kwamba wewe ndiye unayewajua walivyo, bali kwamba sisi - mimi na mke wangu - tumeamua kuchagua kuishi tunavyoishi. Na pia tumejifunza kwamba inawezekana, maana kuna wanandoa tunaowa'admire' na tunaambiana na sisi tujitahidi kufikia level yao maana inatuvutia, kwamba kumbe inawezekana kuishi hivi au vile. Labda naweza kuiweka/kuwasilisha experience yetu au kuamua kuishi pamoja kama tulivyo kwa namna hii.
 
Simp at your finest mood,,
Guess what? Kwenye akili yako kuna
ka-portion kadogo kenye nguvu kanakuambia kuwa sisi hatujawahi kupenda wala hatujui kujali mamanzi wetu. So wewe ndie mwamba sana..
Una guarantee kubwa sana kichwani mwako mpaka unasema una imani juu ya kile mnashare kwenye conversations zenu..

Listen you stupid young man,, wakeup from that dream you are dreaming. It isnt worth your future..
Wale ana kauli yake anasema hivi " Long as your momma lie dont ever love women"

Sio mbongo huyo kama unadhani labda sisi tumedata na life.
Huyo ni American na ana access ya kudate Manzi yule unaemuota ndotoni na bado hujampata..
Kuna kanuni hii napenda kuitumia 'if the theory doesn't fit the practice ignore the theory'. Hivyo, ni vigumu kuni'convince' niamini au nianze kuishi maisha ambayo sina experience nayo. Bado naamini kabisa, do the best and the rest will take care of itself/themselves. Najiepusha kuota ndoto za wengine...na pia naamini 'heri atimizaye kiapo chake hata kama kikimtia hasara'! I vowed (wakati wa kufunga ndoa/kiapo cha ndoa) kumpenda mke wangu, na kuishi naye wakati wa raha na tabu...hadi mwisho wa maisha yangu/yetu na hivi ndivyo ninavyofanya. Sina sababu ya kubadili gia angani.
 
Home boy ujue vijana wengi sana wanatumbukia kwenye trap za hawa wanawake..kirahisi sana.
Yaani ni kama wanawake washazisoma mind za wanaume wote na kuwamaliza kupitia hawa simps..
Ndio maana akikutana na mtu ambae ni bad boy anashangaa kila kitu kwake ni suprize tu..
Kwanza mwanaume unaanzaje kupoteza mechi kitandani mpaka unampa point tatu mwanamke?
Wewe ndio unatakiwa ushinde most of the times yeye ashinde pale tu ambapo upo out of mood..
Sasa mkuu Mbaga Jr kapoteza mapema kwenye angle ambayo ndio silaha ya bad boys wote..jambo ambalo ni kosa
Yaani manzi ashajua kabisa kuwa wewe ndio unamfaidi kitandan halafu yeye anafaidi less than you.
Na mbaya zaidi yuko only 28. Too young to throw in the towel.
Nazidi kupata elimu kutoka kwenu wakuu 🙌
 
Dah we jamaa Hahahaha, na mpaka sasa bado huko nae, unauvumilivu wa Chuma sana mzee, ndio nimetoka huko ila sio kwa level hiyo aisee. Nilichojifunza hawa dada zetu ukipenda sana na kucare lazima udharauliwe, kufanyiwa mambo ya ajabu ajabu na mwisho anakuona ni kama vile huna pa kwenda. Ila hii level uliofkia wewe hatari sana. Cha kufanya move on kikwelikweli atakuja kujutia sana huyo demu
Nakuelewa sana mkuu, najutia sana kuwekeza muda na pesa zangu kwake yn najuta mno mpaka nakuwa mvivu kumove on hasa akijirud
 
Kuna kanuni hii napenda kuitumia 'if the theory doesn't fit the practice ignore the rheory'. Hivyo, ni vigumu kuni'convince' niamini au nianze kuishi maisha ambayo sina experience nayo. Bado naamini kabisa, do the best and the rest will take care of itself/themselves. Najiepusha kuota ndoto za wengine...na pia naamini 'heri atimizaye kiapo chake hata kama kikimtia hasara'! I vowed (wakati wa kufunga ndoa/kiapo cha ndoa) kumpenda mke wangu, na kuishi naye wakati wa raha na tabu...hadi mwisho wa maisha yangu/yetu na hivi ndivyo ninavyofanya. Sina sababu ya kubadili gia angani.
Blood unadhani tunakuambia ubadili?
Nop tunakuambia ili ujue!! Sasa kuhusu kubadili au kutobadili utaamua wewe mwenyewe..
Ndio maana hakuna post yangu hata moja humu jamii ambayo nimemwambia mtu yeyote amuache mpenzi wake au abadili gia angani..
Wala mleta mada hajasema umuache huyo uliye nae noo yeye katoa tu muongozo ambao unatakiwa kuwasimamia wanaume wengi ili wawe salama katika maisha yao.

Utashangaa situmii neno wanaume wote bali wengi
Kwa maana tunajua wazi kuwa mpo watu wa dizaini yako tena wengi pengine kutuliko sisi..
The choice is yo'z bro.
 
Hata ukishindana na mwanaume mwenzako haiondoi ukweli kwamba mwanamke anaingia kwenye mahusiano akiwa na ajenda zake, possibly ni kupata mahitaji ambayo hawezi kujitimizia mwenyewe au kukutumia kama ngazi ya mafanikio.

Kuna situations ambazo unaweza ukafikiria kumuwezesha mfano uyo mama mtoto uliesema kwa sababu atakachopata hata mtoto wako atanufaika nacho pia.

Kuhusu kuelewa na bado kufanya makosa yale yale ilo halitakiwi kukuumiza kichwa. Katika safari yoyote ya kuelekea kaanani lazima kukubalina na ukweli kwamba kuna wenzetu tutawaacha njiani.

Vile vile mifumo ya mwanamke ku-survive kupitia jasho, damu na maumivu ya mwanaume ilishasimikwa miaka mingi sana nyuma, kwaiyo lazima tukubali kwamba mabadilikio hayataonekana kwa kipindi kifupi. Hii ferminism world tunayopingana nayo mpaka ije kuteketea kabisa uenda baadhi yetu tunaweza hata tusiwepo tena hapa duniani, lakini maandiko yetu yataishi.
Wengi wanadhani kuwa tunaandika haya kuwamulika wao tu ambao wapo kwenye hizi situation ambazo ni awkward sana

Wanasahau kuwa haya maandishi ni sehemu ya nafsi zetu itakayoishi hapa duniani kwa miongo mingi kuliko miili yetu..
So mtu akiona bandiko anadhani kuwa tumemtarget yeye so anapinga kwa hoja na nguvu kubwa sana.
Tunaandika yale tuliona na kuyashuhudia mengine yalitokea kwa grounds zetu wenyewe

Hatutaona aibu kuyaweka hapa eti kisa characters ni sisi wenyewe.
Lengo ni ili wale ambao watapitia mambo hayo wasione ugeni bali wajue tu kuwa ni mambo yapo hivyo and they will never change b'coz ni nature.
Hata ikitokea misemo ya oooh dunia imebadilika hakuna kitu kama hicho vitu vingi ni constant and they remain as they are rergardless of your carelessnes.
Ni kama uke kuumeza uume haitatokea kinyume chake hata uume uwe mkubwa kiasi gani bado utamezwa na uke.

Thanks...
 
Blood unadhani tunakuambia ubadili?
Nop tunakuambia ili ujue!! Sasa kuhusu kubadili au kutobadili utaamua wewe mwenyewe..
Ndio maana hakuna post yangu hata moja humu jamii ambayo nimemwambia mtu yeyote amuache mpenzi wake au abadili gia angani..
Wala mleta mada hajasema umuache huyo uliye nae noo yeye katoa tu muongozo ambao unatakiwa kuwasimamia wanaume wengi ili wawe salama katika maisha yao.

Utashangaa situmii neno wanaume wote bali wengi
Kwa maana tunajua wazi kuwa mpo watu wa dizaini yako tena wengi pengine kutuliko sisi..
The choice is yo'z bro.
Sawa! Endeleeni na huo mwongozo wenu "nyie mlio wanaume wengi" na mimi naendelea na maisha yangu niliyochagua maana "kupanga ni kuchagua".
 
Naomba niseme machache yaliyonikuta japo kwa ufupi ila ndefu kdg ili mnielewe kwa wale watakaoweza kusoma.

Mwaka flan niliwahi kukutana na single mother ambaye jamaa aliyempa mimba alimkataa mtoto tangu akiwa tumboni, So binti aka-move on.

Tukiwa tupo mtaa mmoja Tukaanzisha mahusiano wakati ambapo mtoto ana kama mwaka hv na mambo yalienda vzr, jamaa akawa anakuja kwa demu kumuona mtoto na kwel dogo amefanana na jamaa, na mara nyingi jamaa alikuwa anakuja usiku hvy siku nikitaka kwenda kwa demu halafu kama jamaa yupo bc demu ananiambia yupo na mgeni Then Mm napotezea nilikuwa sifatilii ila nikaja kujua kuwa jamaa hua anakwenda kwa demu ila n mara chache maybe kwa mwezi mara tatu, nikapotezea tuu mana najua wale wamezama wote na kwa maelezo ya demu n hawajawahi kusex.

Kuna kipindi nilifukuzwa kazin kutokana na kupishana kauli na boss wangu, so mambo yangu yalienda vibaya mno.
Ila bado nilikuwa nikimtimizia mahitaji yake yule demu japokuwa tulikuwa hatuishi pamoja, kipindi fulani akataka kuhama kwenda kuishi mtaa mwngn nkatoa pesa ili kukamilisha yeye kuondoka mtaa ule huku tukiwekeana ahadi kuwa baada ya yeye kuondoka bc tutaenda kuishi wote hapo So mm nilimuamini na nkatoa kodi ya mwaka mzima pamoja na kununua baadhi ya vitu vya ndani yn zaidi ya 60% ya vitu ndani nilinunua kwa pesa yangu + kodi ya mwaka mzima (hapo bado sina kazi hvy nlkuwa natumia akiba yangu niliyokuwa nayo wakati nafanya kazi)

Pamoja na hayo pia aliniomba nimfungulie biashara ila nilimwambia asubiri mana nmetumia pesa nyingi kwake na pia kuna pesa niliwekeza mahali So kwa kipindi kile sikuwa na pesa kabisa na hiyo biashara ilikufa nikiwa sijaingiza ht mia kama faida. So kuhusu kumfungulia biashara ikashindikana kwa wakati ule ila nilimuahidi kumfungulia hy biashara.

Akiwa tayari amehamia kwenye hayo makazi mapya ndipo mambo yalipoanza kuvurugika zaidi, kugombana nae ilikuwa n kila siku, kunitukana matusi makubwa mno, kunidharau na kila aina ya mabaya alinifanyia ila mm nilikuwa nikimvumilia mana sikutaka kuanzisha mahusiano na mwanamke mwngn mana binafsi hua n mgumu sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake na ndio mana sina idadi kubwa ya wanawake waliowahi kuwa nao kwenye mahusiano nadhani hawafikii hata wanawake nane ambao nshawahi kuwa nao.

Tukigombana anakaa siku kadhaa anarudi kuniomba msamaha (bado tulikuwa hatuishi pamoja) Then maisha ya yaendelea na sema ukweli tukiwa sawa hua tunaishi vzr kiasi kwamba unasema huyu ndie mwanamke wa kuoa.
Kilichofanya nisiishi nae n kwa sababu kipindi hicho sikuwa na pesa hvy nilikuwa nawaza sana nikiishi nae nitamlisha nini na huyo mwanae so ni bora nisiishi nae ili akipewa pesa ya matumizi na huyo aliyezaa nae bc iweze kumtosha yeye na mwanae kuliko na mm niwepo hapo niwe nategemea kula hy pesa ya huyo mwanaume mwngn na pia Mm nlkuwa nikitoka kupambana huko nilikuwa nikimpatia pesa ya matumizi japokuwa sio kila siku. Lkn huyo mwanamke bado akawa ananidharau mno na kila siku tulikuwa tukigombana kwa sababu za kijinga tuu ambazo yeye ndie ameanzisha.

Kumbe huku nyuma mzee mwenye nyumba alitaka kurekebisha mikataba kutokana na kutaka kwenda kukopa pesa benki hvy pale kwenye jina langu kwenye mkataba demu aliondoa jina langu na kuweka lake kwamba yeye ndie mwenye chumba. Hilo pia nilinyamaza na sikutaka kupigiana kelele nae mana kwa kiasi fulani nilianza kuchoka kuwa nae mana kila siku alikuwa mtu wa kunisababishia stress. Mpaka ikafika wakati akanipiga marufuku kukanyaga pale anapoishi.

Kuna siku tukiwa nae nikaanzisha story kuwa nlishawahi kumuona akiingia gest na mwanaume (nilifanya utani ila nikiwa na sura ya serious) bahati nzuri au mbaya akakubali n kweli aliwahi kutoka na mwanaume na walitumia kinga na alifanya hvy kwa sababu hakuwa na jinsi ya kufanya mana hakuwa na pesa ya kuendesha maisha yake mana Mm kwa kipind hicho sikuwa na kazi pia yule aliyezaa nae alikuwa akimzungua kumpa pesa ya matumizi, hii kitu iliniuma sana ila nikapotezea. Na kutokana na mambo yake najua kuna wanaume wengi ametoka naye ila nimenyamaza.

Nashukuru mungu kuna mahali nilipata kazi japokuwa mshahara mdogo lkn nashukuru Mungu mambo yangu yalikuwa yakienda, na yule demu bado nilikuwa naye japokuwa sio kuishi nae, so alikuwa anakuja kwangu anakaa siku kadhaa huku mtoto akiwa kwa dada yake Then anarudi kumchukua mwanae na siku nyingine nlkuwa nikienda kwa demu.

Tuliendelea kuishi hvy hvy kwa kugombana na kurudiana na hayo yote n yeye alikuwa akiyaanzisha yn ugomvi pamoja na mapatano, Mm nilikuwa mpole wakati wote mana sikutaka kuwa na mahusiano mngn zaidi yake tuu.

Kuna siku akaomba nimuanzishie biashara na akapiga hesabu ya kiasi kinachohitajika kwenye hiyo biashara na nikamjibu sawa napambana kupata hiyo pesa, ila dah nawaza kama huyu huyu ndie amekuwa mwiba kwenye maisha yangu kwamba nilitumia kiasi kikubwa cha pesa ili kumfurahisha wakati ambao Mm sina kazi na akalipa kwa kunionyesha dharau na matusi juu halafu huyu huyu tena nimuanzishie biashara si mambo yatakuwa yale yale ataweza kunifukuza hata hapo kwenye biashara niliyomfungulia mwnyw, nikaona hii hapana siwez kumfungulia biashara hvy ngoja ninyamaze niendelee kusikiliza kelele zake za kutaka kumfungulia biashara.

Ndugu zangu, pesa ambazo nmetumia kwa huyo single mother nngesema nijiajiri hakika nngepiga hatua kubwa kwenye maisha yangu ila nilifanya hayo kwake ili kumfurahisha mana nilimuamini ila bado akaniumiza.

Mpaka muda huu bado nipo nae ila kwa kweli sioni future nae mana kila wakati mm na yeye n kugombana tuu, sasa kama mtu hawezi kuwa mwaminifu sasa hv je atakuwa mwaminifu tukiwa kwenye ndoa! Hilo n hapana.
Japokuwa inaniumiza kuachana nae ila ni bora iwe sasa kuliko huko mbele itakavyokuwa nikiwa nitaendelea kulazimisha kuwa nae.

Someone once said 'if you get on the wrong train, be sure to get off at the first stop. The longer you stay on, the more expensive the return trip is going to cost you'

They weren't talking about trains 😎
Pole ndugu yangu, kisa chako kimeniwazisha mengi.
Kuna namna umaskini unaendelea kuwepo kwa sababu ya mahusiano mapenzi na hata ndoa au familia.
Mwanaume kwenye hayo huwa anatoa kwa hundred percent hajali chochote kuhusu yeye ila kuhudumia iwe familia mapenzi ama mahusiano ila mwisho wa siku anakuwa ni mwenye kupata hasara ya moja kwa moja .
 
Home boy ujue vijana wengi sana wanatumbukia kwenye trap za hawa wanawake..kirahisi sana.
Yaani ni kama wanawake washazisoma mind za wanaume wote na kuwamaliza kupitia hawa simps..
Ndio maana akikutana na mtu ambae ni bad boy anashangaa kila kitu kwake ni suprize tu..
Kwanza mwanaume unaanzaje kupoteza mechi kitandani mpaka unampa point tatu mwanamke?
Wewe ndio unatakiwa ushinde most of the times yeye ashinde pale tu ambapo upo out of mood..
Sasa mkuu Mbaga Jr kapoteza mapema kwenye angle ambayo ndio silaha ya bad boys wote..jambo ambalo ni kosa
Yaani manzi ashajua kabisa kuwa wewe ndio unamfaidi kitandan halafu yeye anafaidi less than you.
Na mbaya zaidi yuko only 28. Too young to throw in the towel.
Kweli kabisa 28 bado yupo ndani ya muda kabisa, inahitajika kwake kipindi kifupi cha maumivu makali ya hisia lakini itamzalishia kipindi kirefu cha furaha na amani .
Haita mchukua miezi mitatu kumsahau huyo mwanamke ikiwa ataamua .
 
Back
Top Bottom